Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni haki yako kujua Rais alipo, umeenda Ikulu kumuulizia wakakuzuia?Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
Watu wengi kina nani hao unaowazungumzia? acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya watanzania watanzania wanamkubali JPM na hawana haja na kelele zenuTaifa linamuhitaji RAIS awe salama ,na hasa amalize miradi aliyeanzisha ambayo itainua uchumi.kwani Kila ajayo ana vipaumbele vyake.
Waziri mkuu amesema Yuko?
Na wamechelewa kujibu watu wengi wangependaa kumuona ili kuamini RAIS wao yupo salama salimi.kama hili nalo ni kosa Basi Kama taifa Kuna tatizo kubwa.
Kila la kheri mh dk JPM.
Wanataka kuchochea machafuko kwa kuzua taharuki kuwa nchi haina kiongozi kwa sasa, hiyo ni treasonTunaingia kwenye machafuko kwa sababu Rais anaumwa? Kwani kuna nini cha ajabu? Utakuwa na matatizo kichwani wewe,si bure!
Yale yale!!! Yaani hufahamu kwamba wengine kuajiriwa sio one of their best option!!! Yaani hujui kwamba wengine kuajiriwa ni alternative option! Pole sana, no wonder vijana siku hizi huwa mnajitoa sana akili mbele ya wanasiasa ili mpate anghalau kazi ya kubeba mikoba yao!!wewe huyo maria angepewa nafasi serikalini unadhani angekuwa anakesha Twitter kuchafua nchi? amekosa ulaji angepewa akatae tungejadiliana hahahahaha
Nenda kwenye kurasa za Twitter na Instagram za Maria na NGO yake ya kupokelea hela za wazungu ya change Tanzania na election watchTuwekew ushahidi wa hicho unachokisema.
angepewa kwanza akatae achna na assumptions...kumbuka tunaongelea mtu aliyekuwa anapigia kampeni magufuli na kuwatukana chadema akiwaita mafisadi wapya hahahaahahaYale yale!!! Yaani hufahamu kwamba wengine kuajiriwa sio one of their best option!!! Yaani hujui kwamba wengine kuajiriwa ni alternative option! Pole sana, no wonder vijana siku hizi huwa mnajitoa sana akili mbele ya wanasiasa ili mpate anghalau kazi ya kubeba mikoba yao!!
Situmii twitter. Ziweke hapanenda kwenye kurasa za Twitter na Instagram za Maria na ngo NGO yake ya kupokelea hela za wazungu ya change Tanzania na election watch
Hahatarishi kwa maslahi yake binafsi Bali ni mtetezi kwa wanaominywa hawana ubavu wa kuongea. Kila mtanzania ana mawazo Kama ya Maria ila tumekandamizwa na dictator. Vyombo vya habari tu ni kusifu na kuabudu siyo kwamba wanapenda ila wameminywa. Vijana wanahangaika mtaani bila ajira siyo wanapenda ila wanaominywa tu. Sasa wamechoka wameamua Kama mbwai na iwe mbwa Tena ingekuwa inawezekana hata Lile daraja la ubungo wangelivunja sema tu ubabe umepandikizwa from day one. Wasukuma ndo wanaulaWote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Acha kuwaza kipumbavu wewe na unataka mawazo yako yawe ndio ya wengine! Unayewaza machafuko ni wewe peke yako na mtazamo wako Hasi ambao hata ukiiulizwa sababu za hayo machafuko hutokuwa nayo! Try to think positive madame! Au Nia yako ni kuanzisha hayo machafuko ukijificha nyuma ya Maria? Yaanzishe ukiona Cha mtema kuni!waziri mkuu ameshajibu...anachotaka ni nini? anataka tuingie kwenye machafuko?
mkuu mbona haujazungumzia mapesa ya meremeta? we all know nani alikuwa stelingi wa kuyaiba. leo hii anajifanya anapigania ukweli ukimuuliza hela za meremeta anakupiga blockhahah nimecheka sana. eti kasomeshwa na ccm?
nani kasema?
amesomeshwa na mshahara wa baba ake. kodi za watanzania ndio zinamlipa baba ake kisheria.
na hiko kisiwe kigezo cha kuikosoa serikal inapovurunda.
japokuwa sikubaliani na baadhi ya harakati zake.
pile huna ushahidi kuwa anatumiwa na wazungu. kumeibuka kikundi flani hizi kuwa kila mtu anaipinga serikali anatumiwa na wazungu this is bullshit.
tatu anampa nani hofu? so far sioni hofu yoyote
unajua kama analipwa na shirika linaitwa Ford foundation? anapokea dola million 100 per year...wewe kaa hapo unalowa makwapa eti anawasemea watuHahatarishi kwa maslahi yake binafsi Bali ni mtetezi kwa wanaominywa hawana ubavu wa kuongea. Kila mtanzania ana mawazo Kama ya Maria ila tumekandamizwa na dictator. Vyombo vya habari tu ni kusifu na kuabudu siyo kwamba wanapenda ila wameminywa. Vijana wanahangaika mtaani bila ajira siyo wanapenda ila wanaominywa tu. Sasa wamechoka wameamua Kama mbwai na iwe mbwa Tena ingekuwa inawezekana hata Lile daraja la ubungo wangelivunja sema tu ubabe umepandikizwa from day one. Wasukuma ndo wanaula
Kw hiyo jpm yeye hataki kukosolew kabisa. Aise tuna wakati mgumu Sana jamaniMaria Sarungi ni victim Kampeni za Mwaka 2015 walikua katika kambi ya Magufuli walikua Maria Sarungi, Evarest Chahali, Semkae hawa baada ya JPM kushinda walitegemea kupata vitengo kwenye serikali lakini mda ulizidi kwenda bila kupata favor yeyote ndo wakaegeuka kuwa wakosoaji wa serikali ya Rais Magufuli ni Wachumia tumbo tuuu. Sema Maria Sarungi ni Muoga bado hajaingia kwenye target ya kuweza kukamatwa she is very cautious! .
Sio ikuru, ni ikuluKama ni.haki yako kujua raisi alipo, umeenda ikuru kumuulizia wakakuzuia?
Hata sisi tumekosa fulsa tu kwa Hali ilivyo kwa sasa hata alshaabab wangekuja tz ningejiunga kwa ajiri kumlipua rais. Nchi imekuwa Kama geto Mali binafsi yakeunajua kama analipwa na shirika linaitwa Ford foundation? anapokea dola million 100 per year...wewe kaa hapo unalowa makwapa eti anawasemea watu
kama maria Sarungi anavyotumika na mataifa ya nje ?Misukule ya Diamond=CCM lialia.
Ukichoka kutumika utakuwa umechoka umechakaa.
View attachment 1725160