Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hao siyo binadamu wala hayo magazeti hatafungiwaNaona kama hujamalizia uzi wako, ungeendelea pia kusisitiza waandishi walioandika habari ya uzushi kuhusu kifo cha Mbowe na Mrema nao wakamatwe, bila kusahau waliondika kwamba mzee Sarungi amefariki, wakuu tujaribu kuwa wakweli wa nafsi zetu tusipende mabaya kwa wenzetu, halafu tukiguswa sisi tunataka tunapiga mayowe.