Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Kwenye machafuko kwa sababu ipi? kwa vile wameuliza rais wao yuko wapi wewe ndio uingie kwenye machafuko ?
mna nia ovu lazima mkamatwe muulzwe why mnazusha uongo. mnataka kumfanya nini rais?
 
Na wewe jaribu kuficha ujinga wako, utaratibu gani ufuatwe na wananchi wote hapo chamwino kwa ajili ya kwenda kumuulizia tu rais kama yupo au la?
Unapendekeza njia gani itumike kuwafanya mpaka misukule waamini kuwa rais yuko na anaendelea na majukumu yake ya kawaida
 
Bado upo kwenye fikra zilezile!! Yaani mtu akimpigia kampeni JPM ndo anatafuta cheo?! Hivi kwa akili yako wana-CCM WOTE wanafurahishwa na Magu?! Au ndo bado unaamini kama kuna mwingine yeyote asiyefurahishwa na Magu ni kwavile hakupata ulaji?!

Labda tu nikukumbushe, Maria Sarungi amepata degree yake ya kwanza enzi za Mkapa! Kama anagekuwa na passion kubwa kiasi hicho ya kutaka kazi serikalini tayari angekuwa nayo hasa ukizingatia baba yake alikuwa waziri na elimu alikuwa nayo!!
mzee alikwapua hela za meremeta.
maria tungemuona mkweli kama angepewa cheo na akakikataa
 
Watu mnajua kutafuta kiki vibaya mno...
Mtoa hoja unatafuta kick mzee, tena kupitia mwanamke na pengine wewe ni wakiume.
 
Akili za kijani kibichi ni za kipumbafu sana , badala ya kujibu hoja za msingi yanaibuka na utopolo , jibuni swali leo Zanzimana kasali wapi?
 
Akili fupi huwezi elewa misingi anayosimamia mariah sarungi .

Hakuna ground ya kumshtaki Mariah kwa uzushi

Labda mumbambikize kesi ya uhujumu uchumi maana ndio zenu
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Nini maana halisi ya kuhatarisha usalama wa nchi ? mbona Habibu Mchange amesema Mbowe , Mrema na Sarungi wamekufa huku wakiwa hawana hata mafua na ni wazima lakini hajakamatwa ?
 
Watu mnajua kutafuta kiki vibaya mno...
Mtoa hoja unatafuta kick mzee, tena kupitia mwanamke na pengine wewe ni wakiume.
kiki ili nigundue nini hapa jf? tatizo mnapenda sana maisha ya kulalamika. mnafikri lolote baya likimpata mh itabadili maisha yenu kwenye individual level kina maria wanawadanganya...wakati wazee wao wanakula wao walikuwa kimyaaaa
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.

Una uhakika alisomeshwa na hela za CCM au umeandika uzi ukiwa ndotoni
 
Akili fupi huwezi elewa misingi anayosimamia mariah sarungi .

Hakuna ground ya kumshtaki Mariah kwa uzushi

Labda mumbambikize kesi ya uhujumu uchumi maana ndio zenu
ground ni kusambaza uzushi na kuzua taaruki na kushambulia mamlaka ya rais
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Akikamatwa kama utakavyo pamoja na hao Wenzake ndiyo Mtu wako unayemtetea hapa atapona na kuendelea Kusaini Mafaili usiku wa Manane?
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Akili za HOVYO za vijana wa Lumumba. Ameitukana serikali kwa kusemaje?. Kuyasema mabaya ya serikali ni kuitukana serikali?. Analipwa na mashirika gani fafanua, na hayo mashirika mwisho wa siku yanapata faida gani?.
 
mimi nna dili zangu zimenipa maisha niliyokuwa nayaota tangu mdogo. siwezi uza nchi kama maria sarungi na vijakazi wake
Mwenye maisha na dili haandiki na kuhoji hoja zilizopooza hivi! Naisoma mood yako kwenye mwandishi yako na unaonekana mtu mwenye dhiki Sana na unatamani kutoka kupitia siasa na kujipendekeza! Lucky is not on your side anymore!
 
Back
Top Bottom