Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

waziri mkuu ameshajibu...anachotaka ni nini? anataka tuingie kwenye machafuko?

Amejibu kwamba Rais anafanyia wapi hizo kazi na zinahusu nini maana kazi za Rais ni za maelekezo zaidi ndiyo maana huwa anatumia vyombo vya habari na kawaida siku zote vyombo vya habari huwa vinaroti alichofanya
 
kiki ili nigundue nini hapa jf? tatizo mnapenda sana maisha ya kulalamika. mnafikri lolote baya likimpata mh itabadili maisha yenu kwenye individual level kina maria wanawadanganya...wakati wazee wao wanakula wao walikuwa kimyaaaa
Wewe inakuhusu nini? Acha kufuatilia mambo ya wanawake mkuu.
Utasutwa.
 
Mwenye maisha na dili haandiki na kuhoji hoja zilizopooza hivi! Naisoma mood yako kwenye mwandishi yako na unaonekana mtu mwenye dhiki Sana na unatamani kutoka kupitia siasa na kujipendekeza! Lucky is not on your side anymore!
siasa sio mambo yangu ila wajinga wajinga wakitaka kututia kwenye machafuko lazima tuje tuwafunze adabu.
 
Maria salungi,evarest chahali,wote ni waajiliwa huko nje,wameamua kuwa royal kwa wazungu,mzungu hafanyagi kazi ya hasara,wajiandae kisaikolojia kabisaa.lakini Kuna mtanzania mwenzetu ndg tundu ambae kiukweli ametudhalilisha Sana,kukubali kuwa balozi wa tabia za sodoma na gomola,hii kitu ni udhalilishaji mkubwa.
 
Maria Sarungi ni victim Kampeni za Mwaka 2015 walikua katika kambi ya Magufuli walikua Maria Sarungi, Evarest Chahali, Semkae hawa baada ya JPM kushinda walitegemea kupata vitengo kwenye serikali lakini mda ulizidi kwenda bila kupata favor yeyote ndo wakaegeuka kuwa wakosoaji wa serikali ya Rais Magufuli ni Wachumia tumbo tuuu. Sema Maria Sarungi ni Muoga bado hajaingia kwenye target ya kuweza kukamatwa she is very cautious! .

Kwani kukosoa serikali si ni jambo zuri ili ili ijisahihishe huo si ndiyo uzalendo hata sasa anaendeleza uzalendo huo huo kuuliza aliko Rais wetu kuna tatizo gani na hayo anayofanya
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.

Mtu anaekupa dawa za ukimwi na misaada kibao anawezaje kutuma mtu akuchafue?

Simple thing kwake si kukata hiyo misaada tu na unajifia
 
Yaani wewe option yako pekee ni kukamata na ku torture, kusingekuwa na hiyo nafasi ungeshauri nini tofauti?.
 
Mabeberu Hawatupendi
😅😄😃😂😁🤣😃😃😅😄😂😁😁
 
siasa sio mambo yangu ila wajinga wajinga wakitaka kututia kwenye machafuko lazima tuje tuwafunze adabu.
Mje mkiwa wangapi? Au una genge la kuteka na kutesa? Moendwa funguka acha kujificha kwenye shamba la karanga utaonekana Sasa hivi na utasahaulika! Chunga kauli zako kwani hiyo ccm unayoitarajia ikusaidie pindi ufikwapo na madhila ndiyo itakuwa ya kwanza kukataa! Waulize kina Msando watakuelewesha!
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Umekumbuka kutawadha au umesugua mchangani?
 
Kumbe unasikia analipwa kulichafua taifa letu pendwa Tanzania? Nilijua una evidence za kuback up kauli yako 🙌
 
Waziri mkuu ndiye Rais?
Wananchi hawajawahi kumchagua waziri mkuu ama waziri yeyote Bali waliteuliwa na Rais aliyechaguliwa na wananchi,YUKO WAPI RAIS WETU?????
hichi mnachotaka ni vurugu na mimi nasema mnyooshwe sana tu
 
Back
Top Bottom