Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Mwwnanchi ni wewe na Mumeo tu ?sisi wananchi. anaeneza uzushi mwingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwwnanchi ni wewe na Mumeo tu ?sisi wananchi. anaeneza uzushi mwingi sana
Bora wewe umejitokeza kusema kuwa Jiwe lililorushwa gizani limefanya maangamizi. Dada huyu ni shujaa hasa. Katumia taaluma yake kupambana na uovu kwa kuuangaza na kujuza umma Kipindi hiki cha kuficha habari na kujipendekezaa.Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
tunamwambia maria sarungi jinai haiozi lazima awe fundishoChawa wa wcb naye anajifanya anajua kuchambua current news affairs..
Utopolo mtupu..
Una uwezo wewe wa kumpeleka mahakamani..fanya hivyo
Na bi mkubwa wako mdangaji wa kijijiMwwnanchi ni wewe na Mumeo tu ?
mpiga kampeni wa magufuli na ccm unasema hajipendekezi? ungeona angepewa cheo umjue tabia yake.Bora wewe umejitokeza kusema kuwa Jiwe lililorushwa gizani limefanya maangamizi. Dada huyu ni shujaa hasa. Katumia taaluma yake kupambana na uovu kwa kuuangaza na kujuza umma Kipindi hiki cha kuficha habari na kujipendekezaa.
Kwa kweli taarifa zake hunifanya niupe kazi ubongo wangu kulinganisha na zile za kujipendekeza. Hata wewe kupitia andiko lako hili unakiri kuwa habari zake zima uzito na kuzielemea zile uzipendazo wewe. Hujachelewa tumia akili yako kuweka mizania na kwenda kwenye hoja nzito. Katiba ifuatwe na kuheshimiwa na wote
Shoga wewe BwabwaNa bi mkubwa wako mdangaji wa kijiji
kichwa cha chini yes ni mzigo kitakufikishaKichwa chako ni mzigo kwa mwili wako
Aliishawahi kukueleza mume wake yupo wapi?Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
wanahoji raisi yupi wakati walisema hawamtambuiNdomaana CCM inaonekana kuwa na watu wajinga. Sasa kwakosa gani? Kuhoji alipo Rais?
Kwahi hata wewe hutamani kumuona Rais?
Shithole kabisa nyie viumbe
hahaha noma sana. ila hiyo kesi hakuna anaejali sasa hivi. a.k.a imeshadoda. no body cares.mkuu mbona haujazungumzia mapesa ya meremeta? we all know nani alikuwa stelingi wa kuyaiba. leo hii anajifanya anapigania ukweli ukimuuliza hela za meremeta anakupiga block
baba yake ni jizi kubwa tu, kinachomsumbua ni kukosa ulaji huyo dadahahaha noma sana. ila hiyo kesi hakuna anaejali sasa hivi. a.k.a imeshadoda. no body cares.
watu wana deal na mambo yanayotrend kwa sasa
Wanaoisababisha taaruki ni wasiotoa ufafanuzi kwa maswali yanayoulizwa tuanze na wao kwanza halafu tutaendelea na hatua itakayofuata.Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Nenda mahakamani ukafungue mashtaka na ww n serikali piaWote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Mi nilishawahi kuwa kwenye makundi ya Kihuni??Wewe na Musiba mlikuwa kundi gani na sasa hivi mko wapi?
Funguka kidogo zaidi mwanakwetu.
Leo Raisi MTUKUFU amesali wapi?Mi nilishawahi kuwa kwenye makundi ya Kihuni??
ChamwinoLeo Raisi MTUKUFU amesali wapi?
Sasa unajichekesha chekesha nini kijana?! Nimekuuliza ina maana wote wanaoipigia kampeni CCM wanataka ulaji?! Maria anafahamika ni mwana-CCM, sasa nini kinakushangaza kumpigia kampeni Magu?! Au kwavile mtu akiwa CCM na alishiriki kuipigia kampeni CCM ndo basi tena unatarajia awe kama juha wa kuunga mkono kila kitu hata kama kinaenda kinyume na maono yake?! Nimekukumbusha hapa kwamba ingawaje Maria ni mwana-CCM lakini kwenye Bunge la Katiba bado alikuwa against na Katiba iliyokuwa imepigiwa kura ya NDIYO na CCM!!! Ukishindwa kufahamu maana halisi ya hilo basi una-fit kwa 100% kuwa Mfuasi wa Magufuli ambao wao silika yao ni kuunga mkono kila kitu hata kama ni cha kijinga!!!umesahau alikuwa mpiga kampeni wa jpm 2015 hahahahaahah . baada ya kunyimwa ulaji akaanza kumtukana hahahahaah
Yupo Tanzania huyu?Maria Sarungi ni victim Kampeni za Mwaka 2015 walikua katika kambi ya Magufuli walikua Maria Sarungi, Evarest Chahali, Semkae hawa baada ya JPM kushinda walitegemea kupata vitengo kwenye serikali lakini mda ulizidi kwenda bila kupata favor yeyote ndo wakaegeuka kuwa wakosoaji wa serikali ya Rais Magufuli ni Wachumia tumbo tuuu. Sema Maria Sarungi ni Muoga bado hajaingia kwenye target ya kuweza kukamatwa she is very cautious! .
akili za wachawi na wasiopenda maendeleo ya mtu..akamatwe..afukuzwe kazi anayanyaswe....kwa nini wasimrekebishe wasimjibu.. john yupo hapa afya yake ipoje?unasikia anatumika na mashirika ya nje tkufanya nini kwa maslai gani yaani ndio maana siwezi kuwa kwenye chama chako ukosefu wa ubongo kabisa...kasomeshwa na fedha za ccm..kama ndivyo nini kinakuwasha.au asomeshwe na serikali nini kinakuwasha...nyie mliogeuzwa msikule wa kila kitu kusifiwa mbona hamkusomeshwa na ccm wala serikali badala ya kuwa upande wa kuikosoa hio serikali mnaikenulia...Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.