Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

MATAGA mtaposhindwa kwa hoja mnakimbilia polisi, jubuni hoja zake bhana.
 
CCM ina hazina kubwa ya vijana wajinga kama UJINGA ingekuwa utajiri basi vijana wake wangekuwa matajiri kuliko akina bill gates
wewe ushawai kuona tajiri kijana nchi hii akawa chadema? ukiona chademq anavisenti ujue ni mwizi kama kina lema wezi wa magari
 
Maria Sarungi ni victim Kampeni za Mwaka 2015 walikua katika kambi ya Magufuli walikua Maria Sarungi, Evarest Chahali, Semkae hawa baada ya JPM kushinda walitegemea kupata vitengo kwenye serikali lakini mda ulizidi kwenda bila kupata favor yeyote ndo wakaegeuka kuwa wakosoaji wa serikali ya Rais Magufuli ni Wachumia tumbo tuuu. Sema Maria Sarungi ni Muoga bado hajaingia kwenye target ya kuweza kukamatwa she is very cautious! .
Tofautisha kati ya woga nakuwa na akili kuzidi MATAGA
 
Ndo maana JPM anatafuta wateule wake nje ya circle uvccm... Machoko tupu.. Huna uwezo wa kujenga hoja... Mnafikiria kumfurahisha mfalme,naye amewashtukia. Maria anauliza aliko Rais/kiongozi wake,tatizo lake nini
 
Chawa wa wcb naye anajifanya anajua kuchambua current news affairs..

Utopolo mtupu..

Una uwezo wewe wa kumpeleka mahakamani..fanya hivyo
 
mzee alikwapua hela za meremeta.
maria tungemuona mkweli kama angepewa cheo na akakikataa
Sasa suala la meremeta na Maria linahusiana vipi?! Au unatakiwa kujuzwa kwa mara ya kwanza kwamba suala la Meremeta halikuwa tatizo kwenye serikali ya mkapa wala serikali yoyote?!! Kwamba ungeona amepewa cheo akatae kama ulivyowahi kuona lini akipewa cheo?! Au pia unatakiwa kujuzwa kwamba Maria angekuwa ni mtu wa kujikomba kwa serikali ili apate vyeo basi hata kwenye Bunge la Katiba angekuwa upande wa CCM na sio upande wa waliopinga Rasimu ya CCM?!
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Nani Kajengewa hofu na Maria ?
Mataga acheni useng.e
 
Sasa suala la meremeta na Maria linahusiana vipi?! Au unatakiwa kujuzwa kwa mara ya kwanza kwamba suala la Meremeta halikuwa tatizo kwenye serikali ya mkapa wala serikali yoyote?!! Kwamba ungeona amepewa cheo akatae kama ulivyowahi kuona lini akipewa cheo?! Au pia unatakiwa kujuzwa kwamba Maria angekuwa ni mtu wa kujikomba kwa serikali ili apate vyeo basi hata kwenye Bunge la Katiba angekuwa upande wa CCM na sio upande wa waliopinga Rasimu ya CCM?!
umesahau alikuwa mpiga kampeni wa jpm 2015 hahahahaahah . baada ya kunyimwa ulaji akaanza kumtukana hahahahaah
 
Maria Sarungi ni victim Kampeni za Mwaka 2015 walikua katika kambi ya Magufuli walikua Maria Sarungi, Evarest Chahali, Semkae hawa baada ya JPM kushinda walitegemea kupata vitengo kwenye serikali lakini mda ulizidi kwenda bila kupata favor yeyote ndo wakaegeuka kuwa wakosoaji wa serikali ya Rais Magufuli ni Wachumia tumbo tuuu. Sema Maria Sarungi ni Muoga bado hajaingia kwenye target ya kuweza kukamatwa she is very cautious! .

Wewe na Musiba mlikuwa kundi gani na sasa hivi mko wapi?

Funguka kidogo zaidi mwanakwetu.
 
Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
Umeenda ikulu ukamkosa
 
Back
Top Bottom