Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Sasa wewe unaelipwa na lumumba hela za watanzania za wizi
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
 
Hahaha sikutegemea comment ya design hii hata kidogo, unaongea kama vile unanifahamu. Kadri ninavyofuatilia machangizo yako hapa, naona huna hoja zaidi ya kujibu kama vile upo kwenye kirabu cha pombe ukibishana na walevi wenzako.
All in all mambo ya live band siko interested nayo, Sasa sijui unaongelea live band gani!!
Mimi ni raia tu wakawaida mwenye majukumu ya kuhakikisha familia yangu na mimi mwenyewe tunaishi accordingly as human beings. Sasa unapoongelea niache ushamba sijui umelenga nini, this isnull and void argument.
Code yako sina haja nayo, na nipo tayari huko unakosema kushugurikiwa, Ila nakuonya
ukitakiwa utapatikana tu, si unajifanyaga usalama wewe. unadanganya wajinga wenzio sasa utashughulikuwa ukiendelea..... yule demu wa umu wa kinodnoni ndio kakuuza hahaahhaahah
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Huna akili.
Pumbavu
 
Sawa nimesikia maoni yako.
Nakuja kumkamata
 
Huu upumbavu wapelekee wapumbavu wenzio. Fedha ya Umma mnaifanya fedha ya CCM? Tangu lini CCM imetoa hela kusomesha watoto wa Sarungi? Imewanyima nafasi watoto wa Nyerere itakuwa wa Sarungi?
 
mzee sarungi mpigaji tunamjua, pesa yetu ya meremeta ataitapika
 
Ndomaana CCM inaonekana kuwa na watu wajinga. Sasa kwakosa gani? Kuhoji alipo Rais?
Kwahi hata wewe hutamani kumuona Rais?
Shithole kabisa nyie viumbe
Yaan hii nchi bana,
Hivi mtu kuulizia aliko Rais wake ni kosa??
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Wote ni mashahidi wewe na nani?
Yaan hiyo wote umetujumuisha na sisi unajuaje kwamba sie ni mashahidi wako?
Tulikuwepo wote na wewe mpaka sie tuwe mashahidi wako kuhusu huyu dada?
Na ni wapi huko tulikokuwepo tukamshuhudia huyu dada mpaka useme wote ni mashahidi??

Nyie ndio mnaoiharibu Sinza ya siku hizi ionekane haina tena Wajanja.
 
Back
Top Bottom