Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Muwe mnaweka vifungu vya Sheria vinavyomfanya akamatwe.
 
Mbona simpo tu...Muonesheni Jiwe alipo hata ka clip cha sekunde 5 ...halafu mfungulieni mashtaka sarungi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Umesikia wapi mkuu?
Analipwa kiasi gani ?
Unajua anaweza kufungua kesi dhidi yako na ukajikuta unakula maharage ya bure kwa miaka kadhaa.
 
Dawa ya deni ni kulipa...kama uwezo wa kulipa huna, machungu yake hayakawii kupiga hodi!
 
Kwa hiyo unashikiwa akili na wasukuma??
bora wasukuna shekilango tuna njia nne sasa hivi. hao wachaga hata ofisi yao wameshindwa kujenga wanakula tu ruzuku wapigaji wakubwa
 
Wewe ulipata kitengo gani?
 
...."Nasikia ana lipwa na Mashirika Ya Wazungu kutuchafulia Nchi"....Mbona kauli Ya Kienyeji Sana hii..Taja Moja Mkuu linalo jihusisha na hili...ikibidi hata Makao Makuu yake yataje au historia yake kwa ufupi
 
...."Nasikia ana lipwa na Mashirika Ya Wazungu kutuchafulia Nchi"....Mbona kauli Ya Kienyeji Sana hii..Taja Moja Mkuu linalo jihusisha na hili...ikibidi hata Makao Makuu yake yataje au historia yake kwa ufupi
Ford foundation, USA
 

Nilidhani unasema kwanini hawamkamati MUSIBA kwa uchochezi na taharuki anayofanya hapa nchini? Maria Sarungi hana kosa anatumia kile kinachomruhusu kikatiba ; ndio maana hajifichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…