Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Wana hasira za kukosa ulaji 😊😊😊
 
Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
Anaretweet

Wakati imekatazwa.!
 
CCM inasomesha watu!?
 
Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
Hivi kweli kama una akili kichwani unweza ukalazimisha kuelezwa mahali aliko rais,kwani alikwenda kumtafuta pale chamwino akakuta pamefungwa
 
Tunaingia kwenye machafuko kwa sababu Rais anaumwa? Kwani kuna nini cha ajabu? Utakuwa na matatizo kichwani wewe,si bure!
wewe ulimuona rais anaumwa? hivi nyinyi kwsho mkikuta jf imefungiwa mtalalamika na mnayazua wenyewe mabalaa
 


Kosa la Maria ni lipi kwa mfano??
Hawa waliozusha kuwa Baba yake kafariki mbona mnaona ni sawa tu, kunakuwa na double standard??
 
Wana hasira za kukosa ulaji 😊😊😊
Imeshapitwa na wakati hiyo!! Halafu sijui kwanini mnadhani kila anayem-criticise Magu ni kwa sababu eti mara walikuwa mafisadi mara eti wamekosa ulaji! The problem mnadhani kila mtu kazaliwa akiwa na silika ya kujikomba ili apate cheo au apate favor!! Ni fikra za kishamba kabisa kwa sababu duniani kote kuna critics wa serikali! Hata Mitume walikuwa na critics dhidi yao enzi za utume wao na hadi kesho! WHO'S MAGUFULI hadi ionekane kila anayempinga eti amekosa ulaji kwa namna moja au nyingine?!
 
waziri mkuu ameshajibu...anachotaka ni nini? anataka tuingie kwenye machafuko?
Taifa linamuhitaji RAIS awe salama ,na hasa amalize miradi aliyeanzisha ambayo itainua uchumi.kwani Kila ajayo ana vipaumbele vyake.
Waziri mkuu amesema Yuko?
Na wamechelewa kujibu watu wengi wangependaa kumuona ili kuamini RAIS wao yupo salama salimi.kama hili nalo ni kosa Basi Kama taifa Kuna tatizo kubwa.
Kila la kheri mh dk JPM.
 
Wewe huyo Maria angepewa nafasi serikalini unadhani angekuwa anakesha Twitter kuchafua nchi? amekosa ulaji angepewa akatae tungejadiliana hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…