Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
- Thread starter
-
- #21
Na hapa wanaofanya haya ndio wasimamizi wa nidhamu......ofisi zinakuwa lodge na sehemu yakuvua nguo watumishi wa vyeo vya chiniNilipokuwa mgeni kazini mfanyakazi mwenzangu wa kike ambaye pia alikuwa kanizidi umri aliniambia nikiyaona mambo haya nisishangae kwani mapenzi yapo sana maofisini na hayajali wanandoa wala kutambua kuna mke wa mtu/mume wa mtu.
Sasa ulichukua Hatua gani Bwana mdogo... Au mzito kuelewa !Nilipokuwa mgeni kazini mfanyakazi mwenzangu wa kike ambaye pia alikuwa kanizidi umri aliniambia nikiyaona mambo haya nisishangae kwani mapenzi yapo sana maofisini na hayajali wanandoa wala kutambua kuna mke wa mtu/mume wa mtu.
Usiogope, hugongewiDah! Wife atanieleza Leo kumbe ndo michezo yake
Ni risk na ushamba kujiingiza kwenye uhusiano na mfanyakazi mwenza.Kugongana ofisini ni very risk
Mimi nimetongoza nimekataliwa ππππ tumekuwa maadui na huyo demu.Ni risk na ushamba kujiingiza kwenye uhusiano na mfanyakazi mwenza.
Mkuu amekugusa pabaya?Acha uzushi wewe.
Kauze madafu hukoAcha uzushi wewe.
Itakuwa umezulikaKama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo
1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na wasaidizi wake au sometimes hata wanawake au wanaume kutoka nje ya ofisi. Huwezi kuwa bosi unakaa ofisini na watumishi wenye familia zao hadi usiku wa manane bila kuwa na agenda nao......
2. Wanakuwa na masuala ya ushirikina. Wengi wao hutumia muda wa usiku kuingiza walozi ofisini na kumwaga dawa kuwadhuru wengine.
3. Wana ugomvi kwenye familia zao na hivyo ubaki ofisini na wasaidizi wao kujifariji.
4. Wengi wana uchu wa madaraka na wanaamini kulala ofisini ni sifa ya kuwafanya wapandishwe vyeo au wateuliwe.
Sifa hizi nne si sifa njema, zinakinzana kabisa na maadili na zinapaswa kukemewa.
Karibu nadafu mkuu.Kauze madafu huko
Karibu madafuMkuu amekugusa pabaya?
Ulaya ya wapiπ€£π€£π€£ kwa hv vibarua vya companies???Mwajiri anasema muda wa kazi ni masaa tisa; hao wanaofanya kazi usiku wanashindwa nini kumage time?
Ulaya huwezi kuwaweka watu ofisini kila siku usiku kisa umegombana na familia yako
Na mbaya majukumu yawe yanaingiliana. Kazi itakuwa ngumu. ππMimi nimetongoza nimekataliwa ππππ tumekuwa maadui na huyo demu.
Majukumu yanaingiliana, ila number zake nazifutaNa mbaya majukumu yawe yanaingiliana. Kazi itakuwa ngumu. ππ
Kwa nadharia hizo zote upo sahihi kabisaKama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo
1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na wasaidizi wake au sometimes hata wanawake au wanaume kutoka nje ya ofisi. Huwezi kuwa bosi unakaa ofisini na watumishi wenye familia zao hadi usiku wa manane bila kuwa na agenda nao......
2. Wanakuwa na masuala ya ushirikina. Wengi wao hutumia muda wa usiku kuingiza walozi ofisini na kumwaga dawa kuwadhuru wengine.
3. Wana ugomvi kwenye familia zao na hivyo ubaki ofisini na wasaidizi wao kujifariji.
4. Wengi wana uchu wa madaraka na wanaamini kulala ofisini ni sifa ya kuwafanya wapandishwe vyeo au wateuliwe.
Sifa hizi nne si sifa njema, zinakinzana kabisa na maadili na zinapaswa kukemewa.
Mkaushie. Focus na kazi!Majukumu yanaingiliana, ila number zake nazifuta
Mnanajisi ofisiWapo wale wanaowahi mapema sana ofisini wananyanduana kabla watumishi wengine hawajafika. Haka kamchezo nilikafanya sana, nashukuru hatukuwahi kushtukiwa na yeyote.