Kwanini Serikali isipige marufuku viongozi wanaokaa na wasaidizi wao ofisini hadi usiku kuepusha vitendo vya ngono vinavyotishia ndoa za watumishi?

Nilipokuwa mgeni kazini mfanyakazi mwenzangu wa kike ambaye pia alikuwa kanizidi umri aliniambia nikiyaona mambo haya nisishangae kwani mapenzi yapo sana maofisini na hayajali wanandoa wala kutambua kuna mke wa mtu/mume wa mtu.
Na hapa wanaofanya haya ndio wasimamizi wa nidhamu......ofisi zinakuwa lodge na sehemu yakuvua nguo watumishi wa vyeo vya chini

Mama Gwajima hapa akimulika atabaini upo unyanyasaji mkubwa wa kijinsia unafanywa kwa kigezo cha overtime
 
Nilipokuwa mgeni kazini mfanyakazi mwenzangu wa kike ambaye pia alikuwa kanizidi umri aliniambia nikiyaona mambo haya nisishangae kwani mapenzi yapo sana maofisini na hayajali wanandoa wala kutambua kuna mke wa mtu/mume wa mtu.
Sasa ulichukua Hatua gani Bwana mdogo... Au mzito kuelewa !
 
Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo

1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na wasaidizi wake au sometimes hata wanawake au wanaume kutoka nje ya ofisi. Huwezi kuwa bosi unakaa ofisini na watumishi wenye familia zao hadi usiku wa manane bila kuwa na agenda nao......

2. Wanakuwa na masuala ya ushirikina. Wengi wao hutumia muda wa usiku kuingiza walozi ofisini na kumwaga dawa kuwadhuru wengine.

3. Wana ugomvi kwenye familia zao na hivyo ubaki ofisini na wasaidizi wao kujifariji.

4. Wengi wana uchu wa madaraka na wanaamini kulala ofisini ni sifa ya kuwafanya wapandishwe vyeo au wateuliwe.

Sifa hizi nne si sifa njema, zinakinzana kabisa na maadili na zinapaswa kukemewa.
Itakuwa umezulika
 
Mwajiri anasema muda wa kazi ni masaa tisa; hao wanaofanya kazi usiku wanashindwa nini kumage time?

Ulaya huwezi kuwaweka watu ofisini kila siku usiku kisa umegombana na familia yako
Ulaya ya wapi🤣🤣🤣 kwa hv vibarua vya companies???
 
Mwaka fulani nilikuwa napata shift za usiku , halafu napishana na mwanamke nilikuwa sipenda tupo section moja .

Cha kushangaza yule mwanamke ni mke wa mtu ila anasema kabisa tubadilishe ili mimi niingie asubuhi.Nilikuwa nafurahi sana kumbe ndio michezo yao.

Halafu usiku hapakuwa na kazi zaidi ya kulinda ofisi kwa kujibu meseji za wateja haswa nyakati za usiku mpaka saa 5 .
 
usiku nimepiga showw za kibabe mnooo apa jijini...ila bosi flani kapata used ndomu mazeee....nlitimuliwa mle kama dogii..ila ofisi tamuu asikwambie mtu, unakojoaa atareee
 
Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo

1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na wasaidizi wake au sometimes hata wanawake au wanaume kutoka nje ya ofisi. Huwezi kuwa bosi unakaa ofisini na watumishi wenye familia zao hadi usiku wa manane bila kuwa na agenda nao......

2. Wanakuwa na masuala ya ushirikina. Wengi wao hutumia muda wa usiku kuingiza walozi ofisini na kumwaga dawa kuwadhuru wengine.

3. Wana ugomvi kwenye familia zao na hivyo ubaki ofisini na wasaidizi wao kujifariji.

4. Wengi wana uchu wa madaraka na wanaamini kulala ofisini ni sifa ya kuwafanya wapandishwe vyeo au wateuliwe.

Sifa hizi nne si sifa njema, zinakinzana kabisa na maadili na zinapaswa kukemewa.
Kwa nadharia hizo zote upo sahihi kabisa
 
Hao watumishi kwani wanabakwa? Wenyewe wanapenda ngono, ukipiga marufuku watalalamika sana.
 
Back
Top Bottom