Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
- Thread starter
- #21
Na hapa wanaofanya haya ndio wasimamizi wa nidhamu......ofisi zinakuwa lodge na sehemu yakuvua nguo watumishi wa vyeo vya chiniNilipokuwa mgeni kazini mfanyakazi mwenzangu wa kike ambaye pia alikuwa kanizidi umri aliniambia nikiyaona mambo haya nisishangae kwani mapenzi yapo sana maofisini na hayajali wanandoa wala kutambua kuna mke wa mtu/mume wa mtu.
Mama Gwajima hapa akimulika atabaini upo unyanyasaji mkubwa wa kijinsia unafanywa kwa kigezo cha overtime