Kwanini Serikali isipige marufuku viongozi wanaokaa na wasaidizi wao ofisini hadi usiku kuepusha vitendo vya ngono vinavyotishia ndoa za watumishi?

Kwanini Serikali isipige marufuku viongozi wanaokaa na wasaidizi wao ofisini hadi usiku kuepusha vitendo vya ngono vinavyotishia ndoa za watumishi?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo

1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na wasaidizi wake au sometimes hata wanawake au wanaume kutoka nje ya ofisi. Huwezi kuwa bosi unakaa ofisini na watumishi wenye familia zao hadi usiku wa manane bila kuwa na agenda nao......

2. Wanakuwa na masuala ya ushirikina. Wengi wao hutumia muda wa usiku kuingiza walozi ofisini na kumwaga dawa kuwadhuru wengine.

3. Wana ugomvi kwenye familia zao na hivyo ubaki ofisini na wasaidizi wao kujifariji.

4. Wengi wana uchu wa madaraka na wanaamini kulala ofisini ni sifa ya kuwafanya wapandishwe vyeo au wateuliwe.

Sifa hizi nne si sifa njema, zinakinzana kabisa na maadili na zinapaswa kukemewa.
 
Wapo wasiokuwa na aibu kunyandua wake za watu nyuma ya makabati ya ofisi zao. Yataka moyo mkubwa na uvumilivu kuoa mke mtumishi. Kama huna moyo utakufa mapema kwa kihoro na wivu wa kimapenzi utakajua mkeo ananyanduliwa na kibosile wake au mfanyakazi mwenzake
 
Nilipokuwa mgeni kazini mfanyakazi mwenzangu wa kike ambaye pia alikuwa kanizidi umri aliniambia nikiyaona mambo haya nisishangae kwani mapenzi yapo sana maofisini na hayajali wanandoa wala kutambua kuna mke wa mtu/mume wa mtu.
 
I dedicate all of you to read a book named A MONK WHO SOLD HIS FERRARI by robbin sharma
Remember no one is irreplaceable if you believe you're irreplaceable in your workplace you're a big looser.

CDF wa Kenya amefariki hata kuzikwa hajazikwa ila mrithi wake kashaapishwa tayari.

Aliyesema hapa kazi tu na asiyefanya kazi na asile yupo mavumbini muda huu.
 
Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo

1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na wasaidizi wake au sometimes hata wanawake au wanaume kutoka nje ya ofisi. Huwezi kuwa bosi unakaa ofisini na watumishi wenye familia zao hadi usiku wa manane bila kuwa na agenda nao......

2. Wanakuwa na masuala ya ushirikina. Wengi wao utumia muda wa usiku kuingiza walozi ofisini na kumwaga dawa kuwadhuru wengine.

3. Wana ugomvi kwenye familia zao na hivyo ubaki ofisini na wasaidizi wao kujifariji.

4. Wengi wana uchu wa madaraka na wanaamini kulala ofisini ni sifa ya kuwafanya wapandishwe vyeo au wateuliwe.

Sifa hizi nne si sifa njema, zinakinzana kabisa na maadili na zinapaswa kukemewa.

Tafuta ela mke asifate masharti ya ajira
 
Kuna wale wapenda sifa ili waonekane wanafanya kazi kwa bidii, unakuta mkuu wa shule karudisha wanafunzi shuleni usiku wakasome ili wafaulu mitihani. Huko ni kuwa overdose wanafunzi na kutaka sifa za kilimbukeni kwa mabosi. Cha ajabu limbukeni wa kazi halipwi hata senti moja ya extra time
 
I dedicate all of you to read a book named A MONK WHO SOLD HIS FERRARI by robbin sharma
Remember no one is irreplaceable if you believe you're irreplaceable in your workplace you're a big looser.

CDF wa kenya amefariki hata kuzikwa hajazikwa ila mrithi wake kashaapishwa tayari
Aliyesema hapa kazi tu na asiyefanya kazi na asile yupo mavumbini mda huu.
Umeliweka vizuri
 
haka ka mchezo mi kalinishinda ila staff mwenzangu alikaweza. Alikuwa ananyandua fasta kabla ya staff wengine hawajafika
Mwajiri anasema muda wa kazi ni masaa tisa; hao wanaofanya kazi usiku wanashindwa nini kumage time?

Ulaya huwezi kuwaweka watu ofisini kila siku usiku kisa umegombana na familia yako
 
Wapo wasiokuwa na aibu kunyandua wake za watu nyuma ya makabati ya ofisi zao. Yataka moyo mkubwa na uvumilivu kuoa mke mtumishi. Kama huna moyo utakufa mapema kwa kihoro na wivu wa kimapenzi utakajua mkeo ananyanduliwa na kibosile wake au mfanyakazi mwenzake
aisee wanapigwa juu ya meza staili moja matata sana,ukiachana na ile ya table chair
 
Back
Top Bottom