Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo
1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na wasaidizi wake au sometimes hata wanawake au wanaume kutoka nje ya ofisi. Huwezi kuwa bosi unakaa ofisini na watumishi wenye familia zao hadi usiku wa manane bila kuwa na agenda nao......
2. Wanakuwa na masuala ya ushirikina. Wengi wao hutumia muda wa usiku kuingiza walozi ofisini na kumwaga dawa kuwadhuru wengine.
3. Wana ugomvi kwenye familia zao na hivyo ubaki ofisini na wasaidizi wao kujifariji.
4. Wengi wana uchu wa madaraka na wanaamini kulala ofisini ni sifa ya kuwafanya wapandishwe vyeo au wateuliwe.
Sifa hizi nne si sifa njema, zinakinzana kabisa na maadili na zinapaswa kukemewa.