Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi
Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha ni vyema serikali ikaliona hili hawa pia ni watanzania.
Nawasilisha.
Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha ni vyema serikali ikaliona hili hawa pia ni watanzania.
Nawasilisha.