Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Una hoja mkuu usipuuzwe.
Itawasaidia sana wenye matatizo.
Itatoa ajira kwa wahudumu na kukuza uchumi.
Itawasaidia sana wenye matatizo.
Itatoa ajira kwa wahudumu na kukuza uchumi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea vyema mkuu makundi haya ni madogo kwa idadi hasa hawa vichaa na machizi, wangetenga bajeti ya kuwasaidia hawa watu kwa kuweka vituo vya huduma ya chakula na dawa wangesaidika sanaSijui Wizara ya Jinsia na Mandeleo ya Jamii inafanyaga kazi gani?
Maana hili lilipaswa kuwa moja ya majukumu yake. Hakukupaswa kuwa na wagonjwa wa akili mtaani, wala wazee, wala ombaomba wala watoto wa mtaani.
Wote wanapaswa kukusanywa na kuwekwa mahali pa kuishi.
Wale ambao wanaweza kufanya kazi, wafanye huku wakiwa hapo hapo kambini kama wakiamua kuwaweka kambini
🙏🙏🙏Hujambo? Heri ya Mwaka mpya.
Watu wengi bado wanazichanganya Wizara mbalimbali na Makundi yake maalumu. Haya maoni mazuri humu mngewasilisha moja kwa moja kwenye Wizara mahsusi ya kundi la watu wenye ulemavu ambayo inaitwa, Wizara ya Kazi Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu, Iko ofisi ya Waziri Mkuu. Hivyo, maoni haya mazuri yangejumuishwa kwenye mikakati rasmi ya masuala ya wenye ulemavu kwenye Wizara hii mahsusi tafadhali.
Ahsante Sana
😅😅😅wote tuko mtaani kila mtu anachanganyikiwa kivyakeMiaka ya nyuma kulikuwa na wodi ya vichaa katika kila hospitali ya wilaya na mkoa, siku hizi hatuoni vichaa mahospitalini