Kwanini serikali isiwachukue hawa vichaa wanaozagaa mitaani na kuwaweka kwenye makempu kwa ajili ya kuwahudumia na kuwatibia

Kwanini serikali isiwachukue hawa vichaa wanaozagaa mitaani na kuwaweka kwenye makempu kwa ajili ya kuwahudumia na kuwatibia

Linaweza kuwa wazo zuri ila si kazi rahisi kama unavyofikiria. Vipo vituio vinavyolea watu wenye matatizo ya akili nchini ila sio vingi kukidhi mahitaji. Kuna ghalama kubwa kuwatunza watu wasiozalisha ila wanaingiza hasara.
Hili kundi ni dogo sana nahisi ni dogo kuliko hata la watoto yatima
 
Mkuu
Mkuu labda sijakuelewa ila sijamaanisha kuwatenga, nimemaanisha kuwaweka katika uangalizi wa huduma ya chakula na matibabu kama wafanyavyo wale wa lutindi hospital wilayani lushoto hii kitu inawezekana
Who owns that hospital??..
 
Tusifanye siasa kwenye afya ya mwanadamu asiyeweza kujipambania vichaa hawana zaidi ya pumzi tu ya Mungu ila katika dunia hawana chao kingine tuwahurumie hapa naongea na serikali kuweni na huruma please
Inawezekana huyo unayemjibu hivyo ni mmoja wao..
 
Who owns that hospital??..
Lutindi ni hospital ya kanisa ni kama bweni la machizi ukienda wana madarasa ya kila level ya kichaa

Wanapatiwa matibabu na wanapona na kuruhusiwa wale waliozidi ukichaa wa ndimu hudungwa sindano kuwatuliza zinakuwa sindano za masaa haya mabweni serikali haishindwi kuyatenga na kiweka huduma kwa ajili ya hawa wanaozurula mtaani bila ndugu
 
hii ndio tanzagiza, wao ndiyo wataambiwa wachange kumchukulia fomu, btw “profesa” janabi yuko busy na magonjwa yanayoathiri <1% of the population, anasifiwa na kuwa promoted.
Magonjwa anayoongelea Janabi yanathiri <1% of the population.

Hizi takwimu umezitoa wap?
 
Matibabu n buree mengine ndugu zao
 
Mama anatoa mamilion kwenye ujenzi wa kanisa za kitapeli
 
Back
Top Bottom