Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuzaliwa katika hizi nchi za third world kama Tanzania, ni zaidi ya laana..Inasikitisha sana
Yes kwa maana ndio wanapojichotea wao vigogo wa CCM na watoto wao..Dah! ila kwenye kodi wanazo kempu za kuwasweka wakaidi wa kulipa
hili kundi limesahaulikaHawa watu wanateseka sana mtaani na ni kundi dogo tu serikali ingeliangalia hili
Ungewauliza ndugu zake hili swali,mimi nitatunza wangap,mim nikiwanunulia chakula inatoshaWw kama wewe ulichukua hatua gani baada ya kumuona mtaroni?
Uchumi mkubwa,kifupi Mambo mengi wanatuzidiSijui ila kwanini uwaze ulaya na tupo tz
Kweli kabisa ukiwa kichaa nchi hii andika umeumia heri upate ukimwi kuliko ugonjwa wa akiliNdo maana when you live in this oldest country you need to be Care kutunza Sana Afya ya akili na mwili
Watu hawana habari na mtu
Kuna vichaa ambao walikuza Sana uchumi Ila walipopata mental illness wametupwa huko hakuna anayewajali.
Futa hii sentensi ya lugha ya kigeni.....Mkuu, huko serikalini watu wanawaza per diems, posho na kujaza Matumbo yao tu. Suala la social stability au kumuwazia mema mtu wa hali ya chini hakuna kabisa mkuu wangu.
People are fighting for their stomachs my dear brother..
halina faida kwaoNdugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi
Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha ni vyema serikali ikaliona hili hawa pia ni watanzania.
Nawasilisha.