For so long as it doesn't affect their close ones, hiyo sio issue yao mkuu..Hawa watu wanateseka sana mtaani na ni kundi dogo tu serikali ingeliangalia hili
Ila hela za magoli zipoGharama kuwahudumia. Chakula, matibabu, mtu wa kuwahudumia, mavazi, eneo, umeme, maji, nk.
Sasa wakianza kuhudumia walalahoi wenye psychiatric cases, wao watapandaje V8??..Hizo gharama ni ndogo ukilinganisha zile za kununua v8 kila mwaka
V8 zilizoko haziwatoshi?Sasa wakianza kuhudumia walalahoi wenye psychiatric cases, wao watapandaje V8??..
Tangia lini mtu mlafi akatosheka mke wangu??..V8 zilizoko haziwatoshi?
Ww kama wewe ulichukua hatua gani baada ya kumuona mtaroni?kIukwel serikal ingefanya kitu,kuna mmoja huwa namuona mtaan kila mara siku moja nikamuona kwenye mtaro usiku kalala nilisikitika sana
Ni shida sana mtanzania anathaminiwa akiwa mzima tuMtusamehe ndugu zetu Hawa akina Lisu wanatuchanganya sana, hao wengine ni CCM wenzetu pia ila nguvu tuna zielekeza kuitokomeza CDM kwanza. Tutawaludia ndugu wananchi baada ya muda mtuamini ndugu wananchi.
Inasikitisha sanaMkuu, huko serikalini watu wanawaza per diems, posho na kujaza Matumbo yao tu. Suala la social stability au kumuwazia mema mtu wa hali ya chini hakuna kabisa mkuu wangu.
People are fighting for their stomachs my dear brother..