DOKEZO Kwanini Serikali kupitia Wizara ya Nje, wasishirikiane na Wizara ya Nje ya Congo, kumkamata Tapeli alojiita Nabii kiboko ya wachawi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
PK alishapiga marufuku haya makanisa uchwara ya kina Mwamposa na Gwajima..
 
Kwakweli, Tanzania pesa ipo nje nje, mazuzu wengi
Ilitakiwa na hao waumini watandikwe bakora, hivi mtu mzima unakubali vipi kudanganywa km mtoto?
Nilimshangaa alivyoanza kufufua maiti na watu wanashangilia…!!
Tatizo tanzania tunapenda kusikia story za uchawi na kurogana.!! Tena waendelee kupigwa mpk akili ziwakae vizuri mambwiga hayo.
 
Mfuasi wake Moisemusajiografii ananiporomoshea matusi utadhani mimi ndio niliyemfukuza nabii wake nchini
 
Nakuchora tu unavyobwabwaja
 
kitu hujui watu kama hao ni muhimu sana kwa ajili ya utulivu wa jamii iliyojaa watu wajinga,ambao kimsingi ujinga na uzumbukuku huwa ni faida
Wape hofu fake ya Mungu,wape mada za kijinga za kuongelea,wape starehe ya bei nafuu inayopumbaza akili na kuuwa nguvu za mwili kama ugoro,visungura,sigara za mia mia
wape matumaini fake ya kutajirika kwa michezo mingi ya kubahatisha...
iDadi nyingi ya radio za udaku na vipindi vya kina juma lokole
UWATAWALE KIRAHISIIIIII
 
Serikali huwa hataki kudili na watu kama hao hata mfalme herode hakuona sababu ya kumuua Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…