Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Kwakweli, Tanzania pesa ipo nje nje, mazuzu wengiWananchi ndio wajinga na watatapeliwa mpk wakome..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli, Tanzania pesa ipo nje nje, mazuzu wengiWananchi ndio wajinga na watatapeliwa mpk wakome..!
PK alishapiga marufuku haya makanisa uchwara ya kina Mwamposa na Gwajima..Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.
Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.
Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??
Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn 🤣 ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.
Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!
Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.
Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.
Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
Ilitakiwa na hao waumini watandikwe bakora, hivi mtu mzima unakubali vipi kudanganywa km mtoto?Kwakweli, Tanzania pesa ipo nje nje, mazuzu wengi
Bibie mbona una matusi ivyo, Menopause inakupeleka puta? Njoo kesho kitengule hospital nikubadilishie dawaSoga kapige na mama yako mzazi mbwa wewe.Kazi ushoga tu kuuza kijambio.
Mfuasi wake Moisemusajiografii ananiporomoshea matusi utadhani mimi ndio niliyemfukuza nabii wake nchiniIlitakiwa na hao waumini watandikwe bakora, hivi mtu mzima unakubali vipi kudanganywa km mtoto?
Nilimshangaa alivyoanza kufufua maiti na watu wanashangilia…!!
Tatizo tanzania tunapenda kusikia story za uchawi na kurogana.!! Tena waendelee kupigwa mpk akili ziwakae vizuri mambwiga hayo.
Sema nafatilia mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama, ningewapambanisha mmwage sumu na nyongo zote leo 😂😂😂Mfuasi wake Moisemusajiografii ananiporomoshea matusi utadhani mimi ndio niliyemfukuza nabii wake nchini
Nakuchora tu unavyobwabwajaNi suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.
Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.
Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??
Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn 🤣 ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.
Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!
Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.
Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.
Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
Huyo wa kawe naye ni shida nyingine,anawa tandika sanaSema nafatilia mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama, ningewapambanisha mmwage sumu na nyongo zote leo 😂😂😂
Huyo jamaa hakutoroka nchini bali aliambiwa aondoke naye akatii sheria bila shurutiWakamatwe waliompa vibali kwanza
Serikali huwa hataki kudili na watu kama hao hata mfalme herode hakuona sababu ya kumuua YesuNi suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.
Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.
Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??
Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn 🤣 ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.
Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!
Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.
Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.
Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
Na wakome kung'a g'ania dini fekiMkome kukimbilia manabii na mitume, mkome
Acha kupotoshaNchi imejaa mambugila
Ova
Wakristo ndio wajinga,usiingize wananchi wote,kwa ujinga wa dini moja ya kitapeliWananchi ndio wajinga na watatapeliwa mpk wakome..!
Wakristo wako wapi hapo?Wakristo ndio wajinga,usiingize wananchi wote,kwa ujinga wa dini moja ya kitapeli