DOKEZO Kwanini Serikali kupitia Wizara ya Nje, wasishirikiane na Wizara ya Nje ya Congo, kumkamata Tapeli alojiita Nabii kiboko ya wachawi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Umenikumbusha kesi ya manyaunyau alimpigaga mama mmoja hela

Ova
 
Alafu huyu jamaa alikuwq mgombanishi, πŸ˜„
Anakuambia fulani ndugu yako ndiyo mchawi anakuaribia watu wanajaa

Ova
 
Watanzania wenzangu hatujifunzagi tu kila siku tunapigwa tukio watu kama mabwiga
 
Kwa kosa gani?
 
Kama we unatapeliwa huku unasema "Ameen" sasa serekali iingilie kati ya nini? Endelea kuwatajirisha kina mwamposa tu
Hivi hapo Mwamposa amekujaje? unaonekana unachuki binafsi na Mwamposa,endelea kuumia,sadaka tunazozitoa hukutusaidia kuzitafuta.
 
Ntashangaa sana wakifanya hivyo. Wanatakiwa kukamata wafuasi na kuwachapa viboko wenda qkili zikastuka. Anachokifanya kiboko wa wachawi yeye amekuwa muwazi kwa kile qmbacho wenzake wote hapa bongo wanafanya kwa siri au kistaarabu.

Labda ndio walimfitini walipoona upepo wake haupoi.
 
Hivi hapo Mwamposa amekujaje? unaonekana unachuki binafsi na Mwamposa,endelea kuumia,sadaka tunazozitoa hukutusaidia kuzitafuta.
Mwamposa ni tapeli na wajinga mtaliwa sana maana nyumbu ni chakula ya mamba
 
Mwamposa ni tapeli na wajinga mtaliwa sana maana nyumbu ni chakula ya mamba
Wewe mwerevu bakia hukohuko usiliwe tuache sisi wajinga manyumbu tuendelee kuliwa,ni hiari yetu hatujalazimishwa na mtu.
 
Hiyo ni kazi ya Interpol kabisa.Huyu mtu ni muhalifu halafu hana akili wala kifua.Kama kuna wakubwa alikua anakula nao wakae chonjo.Akishikiwa pliers au moto uelekezwa kwenye korodani atatamka yoootee!
Mkuu na wewe ulikuwa mteja wake nini?
 
Unakutana mtu eti kawa nabii sjui mtume,wakati we unamjuwa mwanzo mwisho
Nlikutanaga na mmoja moro wakati fulani nkasema huyu si fulani πŸ˜„ ehh anaitwa mtume nabii πŸ˜„ alipooniona akasema babu mezea haya maisha tu
πŸ˜„

Ova
Ahahahaha ila mrangi we kiboko aisee
 
Kuna Ka mama kako mitandaoni eti kanamtetea hatari, jamani, kakamateni hako Ka mama kwanza, nahisi NI kamojawapo Ka wanufaika wa hela za kiboko ya wajinga.
 
Ila serikali yetu inawalea sana hawa matapeli wanaotumia dini

Ova
 
Hahahaha Wakukaye Moisemusajiografii hugo gu ligo gwe uligilie muyangu ndihehile mbaha ndisaha hufwaa,
Unazingua ujue kama jamaa ameelewa hapo atakua taabani!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…