Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huyo kiboko ya wqchawi alitumua dini gani?Wakristo wako wapi hapo?
Unawajua wakristo brooo
Mimi sio mkristo lakini
Utapeli una sura nyingi sana mkuuu
Hujui kuwa hujui. Unajua kazi za wanadiplomasia? Kila wizara ina majukumu yake! Kazi ya Kukamata ni ya wizara ya mambo ya ndani. Fungua mashitaka uone INTERPO haifanyi kazi.Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.
Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.
Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??
Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn 🤣 ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.
Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!
Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.
Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.
Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
Itakuwa matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kwenda kuhangaika na mtu kama huyo , ila ni muhimu kuweka vizuri taratibu zetu ili kuzuia watu wa design kama hio kuingia hapa nchini kwetu tuichukue kama funzo la kujipanga vyema na vizuri zaidi, huyu sio tishio la kiusalama na hana madhara kwa mustakabali wa ustawi wa jamhuri ila tu atasumbua hisia za watu wachache kama wewe.Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.
Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.
Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??
Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn 🤣 ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.
Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!
Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.
Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.
Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
SINGANO anakushinda huyu mkuu wetu?Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.
Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.
Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??
Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn 🤣 ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.
Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!
Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.
Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.
Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
mzungu alikuja na bibliaKwani huyo kiboko ya wqchawi alitumua dini gani?
Hiyo ni UK sasa Tz ni ulimwengu mwingine, hao waliokua wanaenda kwake ndo wakuwakamataUkikwapua mkoba wa mwanamke nchi Kama uk , utakimbizwa hadi na Helcopter, achilia mbali utapeli, futualia kesi ya Nabii Bushiri kule South Africa na ulinganishe na bandiko lako…
Achana na huyo huyo mwehu wa Instagram, hana tishio wala hasara ya maana kwa Taifa ni kibaka tuu, kuna siku atajibabatiza tena atarudi tena, tuna watekaji wanaoua na kutishia maisha ya raia na mafisadi yanayokomba mabilioni kila siku, hao ndio serikali makini ishughulike nao lakini sio hii ya CCM ambao wao ndio wahusika
wzHiyo ni UK sasa Tz ni waulimwengu mwingine, hao waliokua wanaenda kwake ndo wakuwakamata
Kwakweli bila waumini wake kucharazwa viboko kwanza Tena hadharani sioni sababu ya huyo kiboko ya wachawi kukamatwa.Ilitakiwa na hao waumini watandikwe bakora, hivi mtu mzima unakubali vipi kudanganywa km mtoto?
Nilimshangaa alivyoanza kufufua maiti na watu wanashangilia…!!
Tatizo tanzania tunapenda kusikia story za uchawi na kurogana.!! Tena waendelee kupigwa mpk akili ziwakae vizuri mambwiga hayo.
Na akina sharifu Majina pamoja na Nabii Eliya bila kumsahau Dr. Sulle Majini mkuu.Kama we unatapeliwa huku unasema "Ameen" sasa serekali iingilie kati ya nini? Endelea kuwatajirisha kina mwamposa tu
Mnamkamataje mliyemfukuza? Halafu kwani amefanya kosa gani? Shughuli zake si ziliharalishwa na mamlaka husika? Tangu lini imeanza kuwa kosa kuwaibia watanzania au kuwageuza mazombi?Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.
Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.
Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??
Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn 🤣 ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.
Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!
Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.
Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.
Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
mrangi mtu wangu wa nguvu unajuwa ukiisoma hii comment utacheka sana.Si mlipeleka hizo ela wenyewe.Katika kitu Watanzania tunachoweza kujivunia ni kutapeliwa
Sawa bwana kobazzSerikali haiwezi ikaingilia upuuzi, wakristo acha mtapeliwe tu mpk mtie akili kondoo nyie, mkiambiwa kweli mnakimbilia kumshambulia anayewasanua hata kama ana nia nzuri mtamuita kobazi, acha mpigwe pesa tu makondoo nyie
Taarifa za kiitelijensia zinaonyesha kuwa tapeli mwamposa leo atakuwa kwenye viwanja vya tanganyoka packers kawe, tuma jeshi lika mu arrest chap! Hayo ndiyo majukumu ya dola mbayuwayu weeWalienda wenyewe ?. Hivi unajua wajibu wa Serikali katika Usalama wa Raia wake?.