Kwanini serikali ya CCM haitaki uchaguzi wa serikali ya mtaa usimamiwe na TUME HURU YA UCHAGUZI?

Nani kakwambia kuwa hatujiamini?
Si lazima tuambiwe na mtu...

Sura zetu, matendo na mienendo yenu inatoa ujumbe ulio wazi kuwa HAMUJIAMINI kuwa mnaweza kushinda hata Kijiji au hata mtaa mmoja tu iwapo mazingira ya uchaguzi ni HURU na WAZI (free & fair election)...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…