Kwanini sex inaondoa chuki katika ndoa?

Kwanini sex inaondoa chuki katika ndoa?

Ila kwa sie wazinzi inakuwa vice versa yaani ukishakula mzigo tuu unamuona mwanamke kama likinyago flani...uzuri wote unapotea...hapo sijui kinatokeaga nini
We mtoto tema mate chini yasiruke juu..... Hujapata karenkenda na nenda ugeruke
 
Kitaalamu na kiroho ni sawa na meza ya Bwana, kwa wakristo wanaoshiriki hiyo ibada wanaelewa vizuri.

Tendo la ndoa ni ibada kamili na ndo maana endapo unashiriki na hauko ndani ya ndoa tegemea uharibifu tu..

Ile ni show ya nafsi na nafsi zaidi na ndo maana ule wakati milango ya kuzama rohoni inakuwa imefunguliwa kwa ukubwa sana.

Usishangae watu wakati wa tendo wakawa wanafanya maombi.

Naomba niishie hapa furahia mke wa ujana wako Mkuu. 😁😁
😄😄
 
Mume wangu mpole mpaka anakera !!!!! Muda mwingine namtibua tu anakereka then nampa kitu roho inapenda...... Yani siku hiyo nimemmnunisha akiingia tu ndani nampeleka sehemu asiyoitarajia hata kwenye banda la kuku akitaka kuongea nishafungua zipu kinachofata anajua tukimaliza anaishia kusema punguza mdomo!!!!!! Oooops nimelewa.
Unanikumbusha yule Mnyiramba wangu..
 
Yani nimekuja kucheki ukifarakna na wife mkakutana tu na mwenzio yani baada ya mchezo tu chuki zinayeyuka hivi kuna siri gani hapa katikati?
Ni huyo wako
Wengine haiko hivyo ndiyo maana utasikia wanandoa wameshtakiana mmoja amebakwa
 
Mke wang huwa ananuna hata siku 4 mpaka tano,nikitaka nikatishe huo mnuno fasta huwa nampiga kimoko kitamu,kesho yake asubuh mapenz kama yote mastory kama yote,ataongea ongea sana mpaka bas,hakika libolo ni dawa
Siku nne zote umemvumilia ??? Dah! Watu mna moyo
 
Ila kwa sie wazinzi inakuwa vice versa yaani ukishakula mzigo tuu unamuona mwanamke kama likinyago flani...uzuri wote unapotea...hapo sijui kinatokeaga nini
Ni kwasababu nyege zimeisha ila baada ya siku kadhaa nyege zikirudi utamuona mzuri kama Beyonce
 
Back
Top Bottom