Duh kna shida sana hyo sektaHii sector inakera sana..! Jumamosi nimeenda feri eti Samaki mmoja JODARI naambiwa laki 300000 kwetu Chato hapo unanunua dume la ng'ombe la kula kijiji kabisa.
Nchi hii ina wapumbavu sana walioko maofisini asiei, kwa dsm tunapata taabu sana kupata kitoweo cha samaki.
Leo uko wapi nije unipe japo Samaki wawili wajomba zako wapate kitoweo?Mimi ni zaidi ya fieldmarshal ohoooo
Cv yngu mjeda mwenyewe anasubiri[emoji23][emoji23][emoji23]
Yah nishavua jongoo tena wle jongoo wakubwa na wa hela pauni,barango,spinyo nlikuwa nakwenda na madaiva umbali kdg na kina kirefu
Sema badaye longolongo ikatokea
Tukaenda lamu kdg twnde somalia hko nkaona sasa uhai ntapoteza[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hivi international waters ni Km ngapi kutokea kwny fukwe zetu?
Nko berega huku [emoji23][emoji23][emoji23]Leo uko wapi nije unipe japo Samaki wawili wajomba zako wapate kitoweo?
Mi staki jongoo
Basi kula osters konokono bahari (nyamata)Leo uko wapi nije unipe japo Samaki wawili wajomba zako wapate kitoweo?
Mi staki jongoo
Nashukuru sana mkuu.Maji ya kimataifa (high sea) kama ulivyouliza hapo juu ni kilomita takriban 370 (sawa na 200 nautical miles) kutoka ufukweni.
Hii sector inakera sana..! Jumamosi nimeenda feri eti Samaki mmoja JODARI naambiwa laki 300000 kwetu Chato hapo unanunua dume la ng'ombe la kula kijiji kabisa.
Nchi hii ina wapumbavu sana walioko maofisini asiei, kwa dsm tunapata taabu sana kupata kitoweo cha samaki.
Nko berega huku [emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya bahari sitaki kusikia tena
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Berega,magere huko huku unaweza kutokea mpk handeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kna pia hospital ya wa irish(irishaid)Ni Mpwapwa hii bila shaka, kandokando ya Kilosa.
Maeneo maarufu kwa ajili ya kilimo cha kitunguu haya
Sisi wafugaji ndo tunafuga chini ya kiwangoNina juwa mkuu ila sio kwa kiwango kikubwa kama wanavyo agiza kuku na samaki Zanzibar
Wewe inabidi tutafutane tuu hamna namnaBerega,magere huko huku unaweza kutokea mpk handeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kna pia hospital ya wa irish(irishaid)
mama D madocho haya haiwezi kuyajuaa
Huku maharage mahindi ndy sana
Vitungu kilosa limumo huko ndy sana
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Zamani sio leo,kwenye ulimwengu wa tecnolojia ,sasa kama hio live update ya meli za uvuvi ,ipo flight radar zote hizi ni vitu live na ipo hata ya meli za mizigo,hio map inakuonyesha meli za uvuvi zinazoingia au tuseme zinazovua au zilizopo kwenye mavuvi,hivyo ukiangalia utaona meli zinafika hadi karibu ya Mtwara yaana wanavuka ile zone ya Tanzania na kuingia ndai kabisa kama ni wanavamia ni wavamizi,askari wetu wakifanikiwa kuzikama hizi basi tungekuwa tupo mbali.Kuilinda bahari ni kazi ngumu sanaa
Sasa kama mihuri haipo TanzaniaHatariii
fundi25 Umenikumbusha Ile habari ya zile nguzo za umeme toka mufundi kwenda kugongwa mhuri Kenya na sisi kuzinunua
Ndio, wanalindwaMbowe, Tundu na Mnyika ndio wanalindwa? Au unamaanisha nini🤔🤔
Utapeli tuu🤣🤣🤣🤣Sasa kama mihuri haipo Tanzania
Kasome vizuri historia yalo. Siongelei kipindi cha JK, bali kipindi cha Mwalimu. Ngwilizi aliwahi kuwa rais wa Sychelles kwa muda.Sychelles sio COMORO,kadai ada kwa mwalimu wako wa geography