Kwanini Seychelles wanavua samaki katika maeneo yetu?

Kwanini Seychelles wanavua samaki katika maeneo yetu?

Hii sector inakera sana..! Jumamosi nimeenda feri eti Samaki mmoja JODARI naambiwa laki 300000 kwetu Chato hapo unanunua dume la ng'ombe la kula kijiji kabisa.

Nchi hii ina wapumbavu sana walioko maofisini asiei, kwa dsm tunapata taabu sana kupata kitoweo cha samaki.
Duh kna shida sana hyo sekta

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni zaidi ya fieldmarshal ohoooo
Cv yngu mjeda mwenyewe anasubiri[emoji23][emoji23][emoji23]
Yah nishavua jongoo tena wle jongoo wakubwa na wa hela pauni,barango,spinyo nlikuwa nakwenda na madaiva umbali kdg na kina kirefu
Sema badaye longolongo ikatokea
Tukaenda lamu kdg twnde somalia hko nkaona sasa uhai ntapoteza[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Leo uko wapi nije unipe japo Samaki wawili wajomba zako wapate kitoweo?
Mi staki jongoo
 
Hii sector inakera sana..! Jumamosi nimeenda feri eti Samaki mmoja JODARI naambiwa laki 300000 kwetu Chato hapo unanunua dume la ng'ombe la kula kijiji kabisa.

Nchi hii ina wapumbavu sana walioko maofisini asiei, kwa dsm tunapata taabu sana kupata kitoweo cha samaki.

Kungekua na uwekezaji mkubwa kwenye hii sekta hasa uvuvi wa kisasa, tusingekua na bei za namna hiyo.

Japokua ni lazima uukubali ukweli kwamba ''Unit price'' ya samaki au nyama nyeupe kwa ujumla iko juu zaidi ya nyama nyekundu (ikiwamo ya ng'ombe).
 
Ni Mpwapwa hii bila shaka, kandokando ya Kilosa.
Maeneo maarufu kwa ajili ya kilimo cha kitunguu haya
Berega,magere huko huku unaweza kutokea mpk handeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kna pia hospital ya wa irish(irishaid)
mama D madocho haya haiwezi kuyajuaa
Huku maharage mahindi ndy sana
Vitungu kilosa limumo huko ndy sana

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Berega,magere huko huku unaweza kutokea mpk handeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kna pia hospital ya wa irish(irishaid)
mama D madocho haya haiwezi kuyajuaa
Huku maharage mahindi ndy sana
Vitungu kilosa limumo huko ndy sana

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Wewe inabidi tutafutane tuu hamna namna
 
Tatizo ni kuwa hawa Navy au wanamaji kusema kweli sina uhakika nao juu ya ufanyaji kazi zao,zaidi ya kuwakamata wavuvi na kuwagonga,ila kuhusu kulinda mipaka ya bahari yetu,hapa ndipo nionapo kuna mtihani mkubwa aidha hawajawezeshwa kuweza kulinda au hawajui namna ya kulinda mipaka ya Bahari ,wao ni kuhujumu wavuzi hawa masikini za Mungu wanaovua kando kando ya pwani zenu,nina wasiwasi hawana ubavu wa kwenda kilomita zaidi ya 200 kama unaiwacha Afrika sio kuelekea kusini wala kaskazini kuelekea mashariki ambako huko hiyo laiv charti au map inaonyesha meli zinazoingia na kuvua samaki,hio ni kwa ajili ya meli za uvuvi tu na sio vidau,unaweza kuilinganisha na ile flight radar ambayo unaweza kuangalia ndygu yako anaetoka ulaya mpaka anaingia anga la afrika na anapotua katika viwanja vyetu hii inasaidia sana kwenda kumpokea mgeni wako,uwanja wa ndege unatakiwa ujue flight namba,

Tuwache hilo nipo na maaskari wanamaji inakuwaje hizi meli zinaingia katika ukanda wa bahari ya Tanzania ,maana kwa teknolojia hata Raisi anaweza kuangalia na kuwauliza inakuwaje ?.

Hatari hii inawezekana hata meli za mafuta zikamwaga oili chafu kwenye bahari zetu,hapa kwa kuwasaidia hata ndege zetu zinazosafiri nje zinaweza kupiga raundi katika maeneo haya ya kujidai na moja kwa moja kuweza kuripoti aina za meli ,kama hilo halitoshi jeshi la anga linaweza kupiga raoundi katika eneo hili kama sehemu ya mazoezi.

Dunia inavyoelekea kwa sasa kila mmoja analinda minyau yake,hata vibuwa wameadimika,kuna nchi jinsi zinavyolinda bahari zao kutokana na meli kubwa za uvuvi basi wanafanikiwa kuwa na samaki wengi sana ambao bahari ikichafuka wananchi wanaweza kubahatika kuwaokota samaki hawa kwa makapu.
 
Kuilinda bahari ni kazi ngumu sanaa
Zamani sio leo,kwenye ulimwengu wa tecnolojia ,sasa kama hio live update ya meli za uvuvi ,ipo flight radar zote hizi ni vitu live na ipo hata ya meli za mizigo,hio map inakuonyesha meli za uvuvi zinazoingia au tuseme zinazovua au zilizopo kwenye mavuvi,hivyo ukiangalia utaona meli zinafika hadi karibu ya Mtwara yaana wanavuka ile zone ya Tanzania na kuingia ndai kabisa kama ni wanavamia ni wavamizi,askari wetu wakifanikiwa kuzikama hizi basi tungekuwa tupo mbali.

Tatizo wanajiona wamefanya kazi kubwa wanapowakamata wenye madau na kuwachomea nyavu zao na kuwaharibia vyombo vyao,huku ni kujificha ,kazi ya kweli inawashinda.
 
Suluhisho ni Serikali kuipa sekta binafsi incentives zinazovutia ili wawekeze kwenye uvuvi na mahali pengine, bila hivyo Serikali haitapata faida mahali popote, na Serekali inapoteza Mapato mengi sana. hakuna majawabu ya mkato
 
Wacha kwanza mkuu tupambane na wanaovaa barakuwa! Wanataka kuutangazia ulimwengu kwamba kwetu kuna Koona wakati haipo! Ipo chache, haijachanganya sana!
 
Sychelles sio COMORO,kadai ada kwa mwalimu wako wa geography
Kasome vizuri historia yalo. Siongelei kipindi cha JK, bali kipindi cha Mwalimu. Ngwilizi aliwahi kuwa rais wa Sychelles kwa muda.

Enjoy the night
 
Back
Top Bottom