Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Koloni letu lile nadhani. Nakumbuka kama Brigedia Ngwilizi amewahi kuwa rais wa muda kipindi fulani huko Sisheli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sychelles sio COMORO,kadai ada kwa mwalimu wako wa geographyKoloni letu lile nadhani. Nakumbuka kama Brigedia Ngwilizi amewahi kuwa rais wa muda kipindi fulani huko Sisheli
Hata kupeleka waandamanaji kule huwezi!!!!Global Fishing Watch shared workspace
Kutokea hio webusite ni live na inaonyesha meli au vyombo vya uvuvi vinavyovua,inaonyesha jama wanapenya mpaka karibu ya Mtwara na lindi na kukaribia visiwa vya Zanzibar kwa umbali wa kilomita kama 120. Je, walinzi wetu wanaweza kufika umbali huo kulinda Tanzania Exclusive Economic Zone.
Na kwa nini zinunuliwe kwa kukurupuka!! Kwani ishu ya wajanja kuvamia maeneo yetu ya bahari kuu yameanza leo? Mbona kitambo tu watjanja wanajichukulia samaki zao na pia maliasili nyingine!!! Watanzania tunachotaka ni kuona mipango yote inafanyika pasipo kuathiri maisha ya wengine.zikinunuliwa,ghafla zinageuka si kipaumbele.
Waache wavue samaki ila maeneo yetu wayaache.Global Fishing Watch shared workspace
Kutokea hio webusite ni live na inaonyesha meli au vyombo vya uvuvi vinavyovua,inaonyesha jama wanapenya mpaka karibu ya Mtwara na lindi na kukaribia visiwa vya Zanzibar kwa umbali wa kilomita kama 120. Je, walinzi wetu wanaweza kufika umbali huo kulinda Tanzania Exclusive Economic Zone.
basi waachwe waendelee kuvuna samaki,nyinyi endeleeni na biashara ya ukulima.Na kwa nini zinunuliwe kwa kukurupuka!! Kwani ishu ya wajanja kuvamia maeneo yetu ya bahari kuu yameanza leo? Mbona kitambo tu watjanja wanajichukulia samaki zao na pia maliasili nyingine!!! Watanzania tunachotaka ni kuona mipango yote inafanyika pasipo kuathiri maisha ya wengine.
Nitaendelea kupinga milele kitendo cha serikali yako kutunyima stahiki zetu za msingi wafanyakazi kwa kisingizio cha kununua ndege! Hivyo basi nitakua wa kwanza kupinga iwapo safari hii Wakulima watadhurumiwa mazao yao ilizinunuliwe meli za uvuvi!!
Ni kwa nini kisitafutwe chanzo kingine cha fedha ili kutoathiri maisha ya wengine?
Sijui kama kuna watanzania wanavua samaki kwenye vina virefu vya maji...Watu walisharubuniwa Mabeberu wanajichotea tuu mali
Hakuna, ukifuatilia utakutana na mikataba ya ajabuajabu tuuSijui kama kuna watanzania wanavua samaki kwenye vina virefu vya maji...
Je mipaka yetu huko wenyewe tunaitambua
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Unamaanisha nini?Sasa nyie hamvui sasa wafanyaje..?
Nyie hamvui...mkivua mnavua kiubabaishajiHakuna, ukifuatilia utakutana na mikataba ya ajabuajabu tuu
Hatua kwa hatua tutafika tuuNyie hamvui...mkivua mnavua kiubabaishaji
[emoji23][emoji23][emoji23]wekeni nguvu mkavuee mpk huko kwao
Rudishen tafico ikiwezekana....
Tatizo wavuvi wetu wengi nguvu ndg ndomana tunambuliaa kuvuaaa vidagaaaa
Nenda maji marefu huko kavueee samaki mwenye umbile kama langu urefu ft 6 "5
Uzito kg 90 hko na kuendeleaaaa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Samaki wamejaa baharini juzi kati nimeenda kununua Samaki feri eti Samaki mmoja JODARI laki 3 shubamiti zao.. Wacha wanaotaka kuvua wavue sisi akili nyeusi tu wapumbafu sana.Unamaanisha nini?
Hasira zako zinazidi kuleta hasara sasa.Samaki wamejaa baharini juzi kati nimeenda kununua Samaki feri eti Samaki mmoja JODARI laki 3 shubamiti zao.. Wacha wanaotaka kuvua wavue sisi akili nyeusi tu wapumbafu sana.
Mama d mm nimevua jongoo bahari mafiaaaHatua kwa hatua tutafika tuu
Upambane na nani..? Labda upambane na ujinga na upumbafu wetu DSM mji mzima umezungukwa na bahari na misamaki kibao imejaa baharini lakini hakuna kitoweo ghali kama samaki dsm m. Ata nyama ya ng'ombe ni nafuu licha ya kwamba wanafungwa mbali.Hasira zako zinazidi kuleta hasara sasa.
Tupambane kuboresha uvuvi, hao wanaovua bila vibali tuwauzie na bei za ndani zipungue
Mama d mm nimevua jongoo bahari mafiaaa
Kuna kisiwa kinaitwa jibondooo kiko mafia
Upande wa kaskazini ukinyooshaaaa
Unakwenda mpaka moheli comoro
Nlikuwa nakwenda na madaivaaaa mpk hko sjui komoro kufata jongoooooooo
Hapa ukizungumzia bahari naijuaa najua mapungufu ya wavuvi wa kwetu
Sekta ya uvuvi hawajawezeshwa wavuvi wengi wanatumia nguvu yaooo
Zaidi ya kuwasikia mabos wamekaa ofisini hawaijui bahari au ziwa ilivyoooo
Tuwe watu wa vitendo syo blh blh tu
Mm ningekuwa na nna nguvu ningeenda mpaka bahari ya somalia hko hata philipines hko navuaa
Nawarudisha samaki
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Zamani ilikuwa TANZANIA FISHERIES ila ndy hivyo ilikuwa,ila kama wavuvi wanawezeshwaUpambane na nani..? Labda upambane na ujinga na upumbafu wetu DSM mji mzima umezungukwa na bahari na misamaki kibao imejaa baharini lakini hakuna kitoweo ghali kama samaki dsm m. Ata nyama ya ng'ombe ni nafuu licha ya kwamba wanafungwa mbali.
Serikali ina umri wa kusitafu haijawhi ata kuunda wembe kwenye elimu inayotoa kwa watu wake. Unamanisha hatuna ata billion 100 kununua meli ya UVUVI..?
Hii sector inakera sana..! Jumamosi nimeenda feri eti Samaki mmoja JODARI naambiwa laki 300000 kwetu Chato hapo unanunua dume la ng'ombe la kula kijiji kabisa.Zamani ilikuwa TANZANIA FISHERIES ila ndy hivyo ilikuwa,ila kama wavuvi wanawezeshwa
Nguvu wanaweza kwenda kuvua kina kirefu na sehemu zenye mazalia wengi wa samaki wakubwa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mimi ni zaidi ya fieldmarshal ohooooWaliouwa viwanda vyetu ili wajinufaishe binafsi Mungu atawalaani popote walipo
mrangi kumbe unafanyaga hizo mambo za hatariiii. Mimi naiogopa bahari mnoooo