Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara ooh! achana na dada yangu.
Na hii hali sio tu mimi imenikuta, mara nyingi nimeona hili hata kwa watu wengine wakikumbana na hisia za chuki kutoka kwa mashemeji wa kiume.
Kwa nini hali hii hutokea?