Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wivu wa nn Kwa sister? Heshima tu iwepoPunguza wivu kaka🤣🤣🤣
Ni kweli kizazi hiki kinaangamia kwa kukosa heshima na busara.Wakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara ooh! achana na dada yangu.
Na hii hali sio tu mimi imenikuta, mara nyingi nimeona hili hata kwa watu wengine wakikumbana na hisia za chuki kutoka kwa mashemeji wa kiume.
Kwa nini hali hii hutokea?
Wakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara ooh! achana na dada yangu.
Na hii hali sio tu mimi imenikuta, mara nyingi nimeona hili hata kwa watu wengine wakikumbana na hisia za chuki kutoka kwa mashemeji wa kiume.
Kwa nini hali hii hutokea?
Mkuu nampenda na mpango wangu nikumfanya awe mke na mama watoto wangu in this two yearsUna mipango ya kumuoa au "HIT & RUN" fuata taratibu ujitambulishe na kuambia hakuna kaka au mzazi anayependa mwanae achezewe chezewe na vivulana/vianaume uchwara.
Wewe ndio umeandika ukweli.Ishu ni sumni tu kaka. Niamini mimi makaka wakijua dada yao anabanduliwa na mtu mwenye hela hawanaga shida kabisa yaani. Wanakuwaga washkaji na mashemeji zao wanapiga mizinga na kusaidiwa kutafuta kazi
Ww kama una mipango ya kumfanya mke ndani ya miaka 2 basi jua kuna wengine watajitokeza au wameshajitokeza na wapo tiyari kumfanya mke ndani ya miezi 3 tu,ndo maana kaka yake hataki umuharibie mdogo wake.Mkuu nampenda na mpango wangu nikumfanya awe mke na mama watoto wangu in this two years
Na iwe Kama ulivyo tamka..usije badilika.Mkuu nampenda na mpango wangu nikumfanya awe mke na mama watoto wangu in this two years
Yaani watu wanaishi pamoja mpaka wanapata watoto watatu alafu unasema eti hawajaoana?Shem yupo na sister miaka mingi sana, wana watoto 3, hajamuoa, na wala sioni tatizo...
Ni ushamba tu.
Kwaio dada ako kupigwa paipu na kuzalishwa nyumbani unaona ni sawa seriously 😳Shem yupo na sister miaka mingi sana, wana watoto 3, hajamuoa, na wala sioni tatizo...
Ni ushamba tu.
Kazalishwa huko wanapoishi sio hapa nyumbaniKwaio dada ako kupigwa paipu na kuzalishwa nyumbani unaona ni sawa seriously 😳
Samahani kwa lugha ngumu iliyo nibid kutumika.
Kama wanaishi pamoja kwa miezi sita na Zaid pika pakua kiserikali inakua ni ndoa tayari.Yaani watu wanaishi pamoja mpaka wanapata watoto watatu alafu unasema eti hawajaoana?
Kwani maana ya kuoana ni nn?
Namaanisha ndugu hatujala pilau😅Yaani watu wanaishi pamoja mpaka wanapata watoto watatu alafu unasema eti hawajaoana?
Kwani maana ya kuoana ni nn?
Hapo ni ndoa mkuu 😊 nawapongeza Sanaa.Kazalishwa huko wanapoishi sio hapa nyumbani
Ya kweli haya Mpaji Mungu?Ishu ni sumni tu kaka. Niamini mimi makaka wakijua dada yao anabanduliwa na mtu mwenye hela hawanaga shida kabisa yaani. Wanakuwaga washkaji na mashemeji zao wanapiga mizinga na kusaidiwa kutafuta kazi