Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
ukiunga doti unavyowafanyia dada za wenzako lazima hasira ikupande uwaze na wa kwako anafanyiwa hivyoWakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara ooh! achana na dada yangu.
Na hii hali sio tu mimi imenikuta, mara nyingi nimeona hili hata kwa watu wengine wakikumbana na hisia za chuki kutoka kwa mashemeji wa kiume.
Kwa nini hali hii hutokea?
Miaka 25Wewe na shemeji mna miaka mingapi?
Utakuta washaharibu sana mabinti za watu hivyo huhisi uharibishu unahamia kwenye familia zao. Ni watu washamba flani hivi 🤣🤣🤣🤣🤣Wakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara ooh! achana na dada yangu.
Na hii hali sio tu mimi imenikuta, mara nyingi nimeona hili hata kwa watu wengine wakikumbana na hisia za chuki kutoka kwa mashemeji wa kiume.
Kwa nini hali hii hutokea?
Kwani wewe hauchukui dada wa mwingine? Na kwanini uwe na chuki wakati wao wamependanaDah hii kwel. Yan unanigongea dada angu. Dah inauma sanaa yan kama unanikosa adabu af kama unakuja kunitambia hiv nikikuona. Aah wap hiyo ngum kumeza
So kosa la nani hapo mkuu?ukiunga doti unavyowafanyia dada za wenzako lazima hasira ikupande uwaze na wa kwako anafanyiwa hivyo
😀 😀 😀 afu hasira wanahamishia kwa watu wa MunguUtakuta washaharibu sana mabinti za watu hivyo huhisi uharibishu unahamia kwenye familia zao. Ni watu washamba flani hivi 🤣🤣🤣🤣🤣
Mwanafunzi soma achana na mapenzi kwa sasa.Wakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara ooh! achana na dada yangu.
Na hii hali sio tu mimi imenikuta, mara nyingi nimeona hili hata kwa watu wengine wakikumbana na hisia za chuki kutoka kwa mashemeji wa kiume.
Kwa nini hali hii hutokea?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dawa yake ni kumtumia hela shemeji yako. Sio unapiga free KendezWakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara ooh! achana na dada yangu.
Na hii hali sio tu mimi imenikuta, mara nyingi nimeona hili hata kwa watu wengine wakikumbana na hisia za chuki kutoka kwa mashemeji wa kiume.
Kwa nini hali hii hutokea?
Ni kwaajili ya kumlinda kifamilia dhidi ya wahuni (waharibifu), ni instinct tuliyoumbiwa nayo wanaume juu ya wadogo zetu wakike tu na sio kwa dada zetu, na hii ni kwa wanaume wenye umri fulani(5-29) na huyo mdogo wa kike umri wake ni kuanzia (5-24) akivuka hapo instict inaishiwa nguvu, kunakua hakuna uchungu.Wakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara ooh! achana na dada yangu.
Na hii hali sio tu mimi imenikuta, mara nyingi nimeona hili hata kwa watu wengine wakikumbana na hisia za chuki kutoka kwa mashemeji wa kiume.
Kwa nini hali hii hutokea?
Sasa suala la posa au kujulikana nyumbani kwa wakwe haliwezi kuwa la muda mfupi toka kuanzishwa kwa mahusiano mkuuHapo sio hisia za chuki kumbuka mtoto wa kiume ni kama baba anachofanya ni kumlinda mdogo wake ili asiharibikiwe saana akaja kuwa mzigo nyumbani na ndio maana hakuna kaka mtu ambaye anakuwa mkali kwa mtu aliekuja kutoa posa ila hawa wa kutaka kupima oil na kusepa lazima viumane
Miaka 25