Kwanini Shemeji wa Kiume huwa na hisia za chuki unapokuwa na mahusiano na Dada yake?

Huna hela dogo ukiwa na hela hawakugombezi wanakuwa machawa wako kila sehemu wapo nyuma..
 
Anakujua wewe ni mhuni. Hakuna anayetaka Dada yake achezewe na wahuni.
 
Unamdate dadaangu afu uje kunitambishia na kunitania aisee tutakosana fanyeni yenu ila mipaka iheshimiwe sio nakukuta unakula korosho unanipiga kijembe nakukuta kwenye pweza hutulii unanirushia vimaneno Atoto
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kuwa na ushkaji na shemeji jau sana.
 
Nyuma ya pazia umri wenu bado mdogo halafu hujafuata utaratibu.Kaka mtu ni jukumu lake kufuatilia usalama wa ndugu yake ukimchapa mimba huyo bila kumuoa taabu zinahamia kwa ndugu zake na ndugu pekee atakayeelemewa ni ndugu wa kiume.

Uwe muelewa.
 
Ndugu yeyote anayejielewa anawalinda Dada zake na wadogo zake kwa gharama yoyote... Akishakuwa mkubwa sasa atajibeba hana lawama.
 
Shemeji asiye na manufaa hapendeki.
 
Wewe huna dada yako utupe uzoefu

??
 
Wanaume wooote isipokuwa wewe wakiume (wewe mtoa mada) ni WAFALME,ni WATAWALA.
Kama hutaki tabu fuata taratibu oa SIYO kudharau HIMAYA YA MFALME unachezea WATAWALIWA WAKE alafu unataka pongezi,hayo fanya wewe.
 
We mtu akiwa anagonga mdogo wako unajisikiaje?
 
We mtu akiwa anagonga mdogo wako unajisikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…