Kwanini Sheria ya uvaaji nembo ya mdhamini ivunjwe?

We jamaa ni kilaza rudi shule
 
Naombea mwakani waende CAF wakaigomee nembo ya Total au wadhamini wengine ambao kwenye logo zao kuna rangi nyekundu.
 
Picha kama ni ya kwako itabaki hivyo kwa rangi yoyote itakayochapishwa.
Usianze kulia mna mechi nyingi za kutafuta walau pointi 1. Yanga unayoipigia kelele inaendelea kusimamia falsafa yake
 
Ligi ya mabingwa hawavaagi nembo ya Total bali wanavaaga nembo yenye CAF
Kumbe hata hajui anachojadili. Lakini pia akumbuke hata asipoiombea Yanga lazima icheze Michuano ya CAF mwakani.
 
Kumbe hata hajui anachojadili. Lakini pia akumbuke hata asipoiombea Yanga lazima icheze Michuano ya CAF mwakani.
Hawa wenzetu wamechanganyikiwa hawajui hata waongelee lipi tuwaonee tu huruma.
 
Hawa wenzetu wamechanganyikiwa hawajui hata waongelee lipi tuwaonee tu huruma.
Naona wamesahau kwamba hata team coach hawana.
Na wale wasaliti wao hawajafanikiwa kuwabaini.
Na Bilionea kawa mlalamikaji Mkuu.
Na CEO ndio shemeji, ana kazi nyingi kupambania mapenzi, timu na kampuni[emoji2][emoji2][emoji2].
Kweli ni wakuonewa huruma!!
 
Rangi ina mahusiano gani na matokeo wajuzi naomba ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…