Kwanini Sheria ya uvaaji nembo ya mdhamini ivunjwe?

Kwanini Sheria ya uvaaji nembo ya mdhamini ivunjwe?

Tunaposema Mpira wa Tanzania Umejaa SIASA ni kwa Mambo kama haya.TFF na NBC Ltd wameingia Mkataba wa NBC Kuidhamini LIGI KUU Tanzania na Moja ya Nasharti ni VILABU vyote lazima VIVAE NEMBO YA MDHAMINI KAMA ILIVYO BILA MASHARTI YOYOTE Kanuni na 16(1:1) yahusika.
Leo Katika Mechi ya YANGA na AZAMU tumeshuhudia Timu ya YANGA ikivaa Jezi zenye NEMBO yenye RANGI Tofauti na NEMBO ya Mdhamini Kinyume na Kanuni na 16(1:1) ya MKATABA wa TFF na NBC Ltd.
Je kwanini YANGA Hawaheshimu MKATABA wa TFF na NBC Ltd?
Kwanini TFF na NBC Ltd Wairuhusu YANGA tu Kuvaa NEMBO TOFAUTI na NEMBO ya Mfadhili?
Je VILABU vingine navyo VIKITOA masharti tofauti na Mkataba Itakuwaje?
TFF Acheni SIASA kwenye MPIRA Heshimuni SHERIA na KANUNI zilizopo KISHERIA View attachment 1992529
We jamaa ni kilaza rudi shule
 
Naombea mwakani waende CAF wakaigomee nembo ya Total au wadhamini wengine ambao kwenye logo zao kuna rangi nyekundu.
 
Picha kama ni ya kwako itabaki hivyo kwa rangi yoyote itakayochapishwa.
Usianze kulia mna mechi nyingi za kutafuta walau pointi 1. Yanga unayoipigia kelele inaendelea kusimamia falsafa yake
 
Ligi ya mabingwa hawavaagi nembo ya Total bali wanavaaga nembo yenye CAF
Kumbe hata hajui anachojadili. Lakini pia akumbuke hata asipoiombea Yanga lazima icheze Michuano ya CAF mwakani.
 
Kumbe hata hajui anachojadili. Lakini pia akumbuke hata asipoiombea Yanga lazima icheze Michuano ya CAF mwakani.
Hawa wenzetu wamechanganyikiwa hawajui hata waongelee lipi tuwaonee tu huruma.
 
Hawa wenzetu wamechanganyikiwa hawajui hata waongelee lipi tuwaonee tu huruma.
Naona wamesahau kwamba hata team coach hawana.
Na wale wasaliti wao hawajafanikiwa kuwabaini.
Na Bilionea kawa mlalamikaji Mkuu.
Na CEO ndio shemeji, ana kazi nyingi kupambania mapenzi, timu na kampuni[emoji2][emoji2][emoji2].
Kweli ni wakuonewa huruma!!
 
Rangi ina mahusiano gani na matokeo wajuzi naomba ufafanuzi
 
Back
Top Bottom