Umeenda chaka ndungu. Kuhusu kurahisisha ubebaji wa pesa siku hizi kuna e wallet kibao, digital currencies, watu wana swap tu kadi kufanya miamala ya mamilion, paypal etc.
Hizi variation kwenye value za pesa baina ya nchi zinaathari kubwa sana kiuchumi, ndio maana kila nchi inapambana na vitu kama inflation kulinda thamani ya pesa yake.
Nadhani bado hujanielewa ngoja nikupe mfano leo thamani ya tzs against us dollar ikiporomoka kutoka 2300 ikafika 2500 tutakao umia ni sisi watanzania maana kama ulikuwa unalipa nauli let say from tz to usa 230k itabidi utafute extra ya 20k ujazilishie kwenye nauli.
Ebu jiulize mfano leo pesa ya tz against usd ikapanda kutoka 2300 ikarudi 1500 halafu pesa ya Kenya against usd ikaporomoka kutoka 108 hadi 150 unadhani nini kitatokea kati ya tzs to ksh unadhani nani ataumia?
Sent from my SM-J701F using
JamiiForums mobile app