Kwanini Shilingi ya Kenya ina thamani kuliko Shilingi ya Tanzania?

Duh,ifm tena?IMF
 
Lakini ina advantage hiyo difference. Utaiona difference wote mki exchange na dollar kununua kitu
 
Hapana, mkenya akinunua huku mahindi hapati advantage nawew ukinunua mahindi kenya hupati hasara. Maana pesa zitabadilishwa na utanunua kwa bei husika. Yaan ipo hivi fedha ya nchi fulani kuwa juu hapo ni kurahisisha "Transportation" (ubebaji wa pesa) na wala sio kwenye "expenditures" (matumiz). Kwa mfano Gari inauzwa Tsh mil 100, yaan hapo mtanzania atakuwa na noti nyingi sana yaani zimejaa begi lakini Mkenya thamani ya pesa yake ya kununua gari hilo anaweka kwenye wallet tuu. Bei ni moja ila ubebwaji wa pesa ndo shida. Pia unaweza kutoka dar mpka mombasa kwa Tsh Elf 50 yaan hapo umetoa noti karibia 5 za elf 10 lakin yeye akatoa noti moja tuu ya ksh elf 5 Yaan hapo wote mmelipa nauli saw kwa umbali huo huo.
 
Lets say mtanzania una laki moja na mkenya ana laki moja. Mkenya pesa yake ina power kuliko yako. Kwa maana ya kwamba wote mki exchange na dollar mkenya anakua ana dollar nyingi kuliko ww. So kama ana dollar nyingi inamaana anaweza akanunua vitu vingi kutoka kwako kuliko ww utakavonunua kutoka kwake. Kwa maana hiyo. Atakufanya ww ulazimike kufanya kazi nyingi kuliko yeye ili ku cover kiasi alicholuzidi kwenye biashara.

Au put it this way. Imagine dunia ingekua na pesa moja. Ingekua rahidi kunielewa. Kwa sababu kungekua hakuna haja ya kutumia nguvu kukuelewesha maana mkenya sasa angetakiwa kuja na laki moja ya tanzania kununua magunia 2 ya mahindi na sisi tungeweza kwenda kenya na laki moja kununua magunia mawili ya mahindi.

Lakini kwa sababu thamani ni tofauti. Ndo maana mkemya anaweza kuja na laki moja akanunua magunia 10 ya mahindi wakati wewe ukienda na laki moja kenya unanunua gunia moja.( mfano)
 
[emoji23][emoji23]. Ume troll mazee.
 
Mkenya ata gain more akitumia pesa yake. Kwa maana ya kwamba mkenya akija na pesa yaje Tanzania anaweza akanunua magunia ya chakula
umesahau kua kuipata iyo KSh. 1000 ni mtiti, ni mziki, uleule sawa na kuipata TSh 22000 ukiwa Tz

issue ya uchumi haina uhusiano na izo exchange

ivi unajua 1 Japanese Yen sawa na 0.99 Ksh

ila utaonekana kituko kama mataga kusema uchumi wa Kenya umezidi Japan
 
Sina elimu ya uchumi ila naona umeandika vitu ambavyo havi-make sense.

Laki ya Kenya unadhani kuipata ni sawa sawa na kuipata ya Tanzania?..
 
WW ndio hujaelewa. Hiyo laki moja ya Kenya imepatikana kwa kufanya kazi kubwa kuliko huyu aliye na laki ya Tz
Jamaa kaandika upupu sana..anadhani laki moja ya kenya unaweza kumhonga mchepuko wa Buza kama laki ya bongo?..Hell no.
 
Jamaa kaandika upupu sana..anadhani laki moja ya kenya unaweza kumhonga mchepuko wa Buza kama laki ya bongo?..Hell no.
Chegele aje ajibu maswali huku. Hii issue ya exchange rates ni mtihani kwa wachumi wengi. Utasikia export and import zimefanyaje huko halafu huyooooo ameshamaliza
 
Ni International Monentary Fund) [IMF] inachanganya mno kweli.
 
Mkuu iwe mtiti isiwe mtiti. Inatakiwa ujiulize ni kwann basi kusiwe na thamani moja basi. Swali linaanzia pale kwann kuwe na tofauti ya thamani. Swala sio ugumu wa upatikanaji. Hata dollar mbona inatuzidi thamani lakini mbona ni rahisi kuipata ukiwa marekani. Ugumu wa kupata pesa sio kipimo
 
Sina elimu ya uchumi ila naona umeandika vitu ambavyo havi-make sense.

Laki ya Kenya unadhani kuipata ni sawa sawa na kuipata ya Tanzania?..
So unataka kusemaje?
 
Sina elimu ya uchumi ila naona umeandika vitu ambavyo havi-make sense.

Laki ya Kenya unadhani kuipata ni sawa sawa na kuipata ya Tanzania?..
So unataka kunambia kenya shilling hara ikiendelea kuongezeka thamani mara dufu bila measures zozote itakua haina athari?
Maana ndo opinion za wengi humu. Kwamba ongezeko la thamani ya pesa kwa nchi fulani halina impact kwenye uchumi.
 
Umeenda chaka ndungu. Kuhusu kurahisisha ubebaji wa pesa siku hizi kuna e wallet kibao, digital currencies, watu wana swap tu kadi kufanya miamala ya mamilion, paypal etc.

Hizi variation kwenye value za pesa baina ya nchi zinaathari kubwa sana kiuchumi, ndio maana kila nchi inapambana na vitu kama inflation kulinda thamani ya pesa yake.

Nadhani bado hujanielewa ngoja nikupe mfano leo thamani ya tzs against us dollar ikiporomoka kutoka 2300 ikafika 2500 tutakao umia ni sisi watanzania maana kama ulikuwa unalipa nauli let say from tz to usa 230k itabidi utafute extra ya 20k ujazilishie kwenye nauli.

Ebu jiulize mfano leo pesa ya tz against usd ikapanda kutoka 2300 ikarudi 1500 halafu pesa ya Kenya against usd ikaporomoka kutoka 108 hadi 150 unadhani nini kitatokea kati ya tzs to ksh unadhani nani ataumia?

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
So unataka kunambia kenya shilling hara ikiendelea kuongezeka thamani mara dufu bila measures zozote itakua haina athari?
Maana ndo opinion za wengi humu. Kwamba ongezeko la thamani ya pesa kwa nchi fulani halina impact kwenye uchumi.
Hara=hata( typing error)
 
Obvious. Mtania ataumia na kulaliwa/kupumzikiwa na kenya
 
True. Obvious mtanzania ndo atakae umia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…