Kwanini Shilingi ya Kenya ina thamani kuliko Shilingi ya Tanzania?

Anyway, issue sio demand and supply, ukijibu kutumia hizo theory unakua unajibu kutokana na ulivokariri darasani. Hebu lete reasonable facts mezani. Maana hata bila kwenda shile mbona haya mambo yanaeleweka. Haya mambo hayapo complicated kama walimu wetu wanavo tufundisha
 
Yes..economics..achana na kusoma uchumi mkuu..unatakiwa kusoma hata ukiwa ushamaliza kusoma..yaan som ujue dunia inaendaje[emoji3062]
Kabisa!! Watanzania tumekalili sana. Yani mtu akisomea ualimu hajiongezi kujua mambo mengine km kilimo, Nutrition,uchumi n.k. Dunia haiendeshwi na ualimu tu bali mambo mengi. Kuna umuhimu mkubwa wa Ku-"diversify" elimu.
 
tunamchango wa kifamilia tunatakiwa kutoa kila mtu 2500 ya kenya ,banabana kuja kupata thamani yake mpaka hivi sasa kuna ndugu simu hazipatikani sasa sijui ni mtandao unasumbua,
 
Ndo iko hivyo mfano kg ya sukari ni 115 ksh ukibadirisha kwa tsh say given ex rate ni 22.22 ni sawa na 2600 .ukiwa na 450 ya kenya utanunua 3.6 kg za sukari na ukiwa na 10000 utanunua the same kg za sukari .
 
Pesa kuwa chini au kuwa juu huwa si lolote,wala si ubora wa uchumi.
Tshs 1000/-=Italian lire 686/-
Hiyo rate ya lini?Kwa sababu Italy inatumia Euro kama legal tender tokea mwaka 2002.
Hiyo rate inaapply vipi??
 
Kama uchumi wa nchi hauna uhusiano na thamani ya pesa. Elezea kwann dollar ina nguvu kuliko shilingi. Unataka kunambia thamani ya dollar haina impact kwenye uchumi wa marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…