Kwanini show nyingi za wasanii wa muziki hufanyika sana Mwanza na Kahama?

Jitaid ufike mkuu ujionee uzur wa jiji
Sijawahi fika Mwanza ila Kahama siku ya kwanza kufika nilipapenda yani kupo kama Daslama tu kuna ile bar yao moja ipo karibu na stendi ya mabasi jina nimeisahau aisee iko poa sana yani nikiendaga najionaga kama vile nipo Daslama aiseee
 
Sijui umetumia tafiti ipi kuwa mwanza na kahama kiujumla kanda ya ziwa,, ni tajiri mno sio utajiri wa maghorofa kama Dar. Jiulize why dodoma inakusanya pesa nyingi kuliko Dar utapata jibu kuwa utajiri ni watu na sio majengo rasilimali tulizonazo hasa madini na mwanza uvuvi ndiyo yanayofanya wasanii wenu wa Dar kushoboka na kanda ya ziwa Cause kuna madoni pia kuna mataita yanamiliki mabasi nadhani kuliko mikoa yote
 
Watu huko wanawashobokea bado

Ova
 
Manyumbu wengi huko!!...
 
Ndo umasikin umeshakuja tayar huna la kufanya sasa
 
Sehemu nyingine soko limeshakuwa 'saturated' hawana jipya
 
Mwanza wasukuma bado washamba sana kuna wasanii wao huku wanaimba kisukuma yani wanapiga hela mbaya
Mkuu kwa mkutadha huu nadhani mshamba ni wewe kama unaamini mshamba ni mtu anayelipa hela kuangalia show ya msanii wa nyumbani.
 
Wewe acha roho za kimaskini. Si ushamba mtu kuangalia show. Vipi na wale wanaohudhuria show kwa nchi zilizoendelea kisanaa na wao wa shamba eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…