Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kwenye nyuzi kama hizi huwezi kumuona Mohammed Said akija kuchangia. Anapiga kimya kama haoni kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, Wakatoliki hawafundishi hivyo.Siyo upuuzi, hii ni doctrine ya dini zote, Elimu Dunia is the secondary priority
Pikeni na nyie.... Toto limeshika juzuu nzima lakini definition tu ya biology halijui na ulibebe tu .... Wabebeni nyieWakatoliki hawastahili kusifiwa kwa kufaulisha!
Nasema hivyo kwa sababu wana utaratibu wa kuchuja sana wanafunzi wanaoingia shule zao....hata shule nyingine zikifanya kama wao lazima matokeo yawe mazuri kama hayo......
Mzazi anaweza kuambiwa kabisa kama mtoto wako hata fikisha maks flani itabidi umhamishe.....
Kwa mtu mwenye maarifa akiona hali kama hiyo ataona kabisa kuwa, hawana sababu ya kujisifia.... kama wangepika wanafunzi wakawaida wakawa wazuri na kufaulu vizuri; ndio tungewaelewa na KUWAPA MAUA YAO au wanataka wanafunzi wenye uwezo wa kawaida (ambao ndio wengi) na wale wenye uwezo mdogo wao wakasome wapi???
That's a very stupid excuse, huyo Mohamed whatever huyo ndiyo standard unit ya facts za Tanzania. Kama kuna hujuma zozote system yote ya nchi iko mikononi mwa Muslims ina maana wao wanafurahia hizo 'hujuma'? Culture ya Kiarabu in general haizingatii elimu(ilmu dunia) na ukweli huo tumeuona kuanzia mashuleni mpaka vyuoni.Mfumo kristo upo deep zaidi ya hapo. Hadi nchi iwe under sharia ndo mfumo kristo utaisha. Mohamed Said atakupa maelekezo zaidi na jinsi Sykes alivyohusika kupambana mfumo kristu.
Kwani hizo shule niza BAKWATA?Well discussed to the CORE, ikiwezekana peleka document hii BAKWATA
Hoja hii niyamsingi sanaNi fikra na mawazo mabovu kudhani waislamu wanafeli kwasababu ya uislamu wao. Sababu kubwa ya shule za kikiristo kifaulisha sana ni mchujo wa wanafunzi unaofanywa ili kupata the best kama unavyoweza kuona Kwa shule kama St. Francis Mbeya, na shule nyengine nyingi.
Kwangu mimi tabia ya kupenda kusoma huanzia nyumbani or Kwa watu wanaokuzunguka Kwa shuleni ni 10-20% hiyo 80-90% unaipata Kwa vitu vilivyo nje ya chuo/shule km rafiki,genetics kuna familia ni wasomi by nature.
Siyo kwamba watoto au wanafunzi waislam huwa hawafaulu au kwamba hawana akili. Lakini ni ukweli kuwa shule zinazosimamiwa na BAKWATA hazifanyi vizuri.Maamuzi tu mm mbona muislam lakin form na form six nimafaulu vzr 😀😀😀
Kuvaa kobaz,kuwahi makra 72 akhera,Vipaumbele vya uislamu, ndoa, ubwabwa, maziko ya haraka, kuhifadhi Quran.
Kama si za BAKWATA, basi ipelekwe kwa relevant authorityKwani hizo shule niza BAKWATA?
..nimesema ni doctrine ya dini zote, lakini wakatoliki wana taka uweze kumaster pande zote, the best wanaenda seminari kuu kubobea theology na Elimu Dunia, ndyo maana pasters wao wako broad sana kwa knowledge, mfano rahisi ni W.SlaaSio kweli, Wakatoliki hawafundishi hivyo.
You are the one who needs to restore the brainYou need to restore your brain to factory settings.
😇🤣 Preparing for unknown/unproven destiny?Shule zinatuandaa twende mbinguni siyo UTUMISHI