Kwanini shule za kiislamu hazifanyi vizuri katika mitihani ya taifa?

Ngoja nije zanzibar ni kuwafyatua vinyeo tu mpaka akili ziwakae sawa
Zanzibar ina watu chini ya 2M ina Per capital ya $2500,na matokeo ya form four yakitoka zeroooo nyingiiii😀😄😀😁😅
Enheee kule Kagera kwenye division one nyingi za wakristo,weka kwanza stendi yenu ya mabasi tuione
 
Attachments

  • Screenshot_20250211-181114.png
    Screenshot_20250211-181114.png
    133.4 KB · Views: 1
Sass kama ninyo wenyewe hamuajielewi unategema mtu atoke nje ya nchi aje kukunufaisha?
1.Nyerere msomi wa Kikristo alisaini mktaba na Zanzibar,Mali za Tanganyika ziwe za Zanzibar pia,hau hajui kua SMS inamiliki ardhi Tanganyika?,na inanufaika na madini ya Tanganyika😁😆😆
2.Haujui kua Mkapa Msomi wa Kikristo ndio alieuza migodi kwa 3%,😄😆😃😆😃
3.Je wewe naye ni msomi wa Kikristo?
4.je wewe nae sio mpumbavu?
Baada ya kumsifu Samia,raia wa Zanzibar kuwatawala waumbavu wasiojielewa wewe unasema ndio amekuletea umasikini
Rudia tena sijakuelewa
 
Saudi Arabia kafika alipofika kwa sababu ya USA, mambo ya petro dollar na kulindwa amekuwa akilindwa na USA kwa hiyo hakuna matumizi yoyote akili ya kiislam iiyochangia hayo maendeleo ya Saudia.
Term petrodollar, Uchumi wote wa mafuta na graph zake katengeneza Ibrahim Ouweiss, ambaye alikua mshauri wa Carter na mwalimu wa Clinton, Proffesor toka Egpty.

Hapo Saudia Wana Chuo cha pili Duniani cha petroli nyuma ya Austin Texas, wameweza kuvumbua mambo mbalimbali ambayo mafuta Yanaweza kufanya to the point sasa hivi Kemikali wanazo zalisha zinaingiza mapato makubwa kushinda mafuta yanayouzwa kwa ajili ya magari na matumizi mengine ya kuungiza,

Kama unafikiri ni rahisi hivyo kusaidia tu kuchimba mafuta uwe Tajiri, Dunia nzima wangefaidika, ila so far ni wao peke yao hapo Gulf wanaoishi hayo maisha.
 
We muisharam kweli,unashindwa kuelewa kuwa saudia bila USA ingekuwa ni chaka la magaidi.

Hayo mafuta bila kuvumbuliwa na mzungu waarabu wangekua bado wanachambia mchanga.

Venezuera kakataa sera za magharibi kawekewa vikwazo kila kona unatagemea atauzia wapi mafuta.

Kobazi acha ujinga.
Upo sahihi sanaaaa
Hata:-
1.Iran-nchi yenye reservekibwa ya gesi duniani
2.Iraq:nchi inayozalisha 5Milion barrel of oil per day(kumbuka price ya Barre Moja ni $73)😄
3.Bahrain
4.Morroco
5.Libya
7.Egypt
8.Kuwait(Nchi yenye pesa strong zaidi duniani),1 Kuwait Dinar=3.8 $
9.Oman(nchi yenye pesa strong ya 3 duniani)
10.Qatar(ilihost kombe la Dunia bajeti,$200Bilioni=Bajeti ya D.R.C yenye wakatoliki 100M,kwa miaka 10😃😄😁)
zoote hizo zimeendelea sababu ya U.S.A
*Upo sahihi,U.S.A anawapenda sana waislam na nchi za Kiislam
Enhe:-
1.Na wewe ni mkristo msomi?😄😁
2.ila wewe sio mpumbavu?😆😆
3.kwa nini U.S.A hazofanyi nchi zenye wakristo wengi kama Venezuela,D.R
C,Colombia,Zambia,EL Salvador,Kenya,ziwe tajiri kama SAUDI ARABIA?😃😄😆😅
 
Rudia tena sijakuelewa
Wakristo ni matajiri sababu wasomi,mfano D.R.C,Colombia pale kwenye Catholics 94% ,huwezi fananisha na Iran ama Iraq kwenye waislam wengi 98%,.............utaona hapo D.R.C na Colombia ni matajiri sana,😃😁😃😁
 
Term petrodollar, Uchumi wote wa mafuta na graph zake katengeneza Ibrahim Ouweiss, ambaye alikua mshauri wa Carter na mwalimu wa Clinton, Proffesor toka Egpty.

Hapo Saudia Wana Chuo cha pili Duniani cha petroli nyuma ya Austin Texas, wameweza kuvumbua mambo mbalimbali ambayo mafuta Yanaweza kufanya to the point sasa hivi Kemikali wanazo zalisha zinaingiza mapato makubwa kushinda mafuta yanayouzwa kwa ajili ya magari na matumizi mengine ya kuungiza,

Kama unafikiri ni rahisi hivyo kusaidia tu kuchimba mafuta uwe Tajiri, Dunia nzima wangefaidika, ila so far ni wao peke yao hapo Gulf wanaoishi hayo maisha.
Muulize huyo msomi wa kikristo😆😆
1.Kama U.S inaipenda Saudi Arabia ikaifanya iwe tajiri,mbona Vatican haijafanya D.R.C yenye wakristo 100milion kua tajiri?😆😀😅😀
2.Kwa nini U.S isiifanye Zambia,nchi ya Kikristo kua TU nusu ya Saudi Arabia?😃😁😆
 
1.Wenzako wanashika gun kutetea mali zao wawe matajiri wewe unawaota magaidi?
Hizo ndio nchi za kiislam sasa
2.D.R.C ina wakatoliki 100M,askari wanaachia bunduki wanakimbia M23 wanajitwalia midogi😃😁😆😉,raia kula Yao ya shida
3.Ikitokea kulinda mali zako ni ugaidi,yes hapo ndio unakuta Arabic countries zote ni rich
4.Hapo ndio unakuta Zanzibar inayoongozola kuferi NECTA Kwa zero nyingi,ina Per capital ya $2500,😃😄😁,mara 2 Ya Tanganyika
Shule za kiislam kwanza zifungwe shule zinakazana kufundisha ugaidi tu
 
Pikeni na nyie.... Toto limeshika juzuu nzima lakini definition tu ya biology halijui na ulibebe tu .... Wabebeni nyie
Unajua biology yote unapata division one ila huduma za afya,Barbara maji,umeme shida tupu,.........kule Zanzibar kunaongoza kupata division zero ,Kuna waislam 98%,ila kunaongoza Kwa kua na madocta,shule za ghorofa,wana Hadi national hospital,vyuo vikuu etc.........watu milioni 1.8 hao,wanaoongoza kupata division Zero😃😄😁
Enhe msomi wa kikristo unaendeleaje?
 
Ndio nachozungumzia kuwatumia wapumbavu kuwa tajiri sio kosa kwenye uislam,na hii Karume aliitumia vizuri sana ama haujui kua Mali za Tanzania bara ni za zanzibar pia,ila Mali za Zanzibar kwenye waislam 99% ni Zanzibar pekee😃😄
..but it's insignificant wealth, ilifanyika hivo ku-protect minority
 
1.Kua Nyerere aliwaonea huruma wazanzibar?
2.Enh mbona hatuionei huruma Kagera,Geita,Shinyanga ziwe kama Zanzibar?😃😁😃😆
3.Sisi si tuna rohi nzuri?
 
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2024 yanaonesha tena kwamba shule za Kanisa Katoliki zimeendelea kuongoza kwa viwango vya juu vya ufaulu. Kwa mfano, kati ya watahiniwa 19,182 waliotoka kwenye shule za Kanisa, asilimia 97.72 walipata daraja la kwanza hadi la tatu, huku asilimia 0.04 pekee wakipata daraja la sifuri.

Kwa upande mwingine, shule za Kiislamu hazijajitokeza kwa wingi katika nafasi za juu za ufaulu. Hali hii imekuwa ikiendelea kwa miaka mingi, na inazua maswali: Kwa nini shule za Kiislamu hazifanyi vizuri katika mitihani ya taifa? Je, tatizo ni mfumo wa elimu, usimamizi, au kuna mambo mengine yanayochangia hali hii?

TATIZO LIKO WAPI?

Uchambuzi wa hali ya shule za Kiislamu unaonesha changamoto mbalimbali zinazoweza kuwa sababu ya matokeo yasiyoridhisha.

1. Changamoto ya Usimamizi

Shule nyingi za Kiislamu huanzishwa kwa lengo la kutoa elimu ya kidini pamoja na elimu ya kawaida. Hata hivyo, usimamizi wa shule hizi mara nyingi haupo kwenye mfumo thabiti kama ule wa shule za Kanisa, ambazo zinakuwa chini ya taasisi zilizo na uzoefu wa miaka mingi katika uendeshaji wa taasisi za elimu.

Shule nyingi za Kanisa zinamilikiwa na majimbo ya Kanisa Katoliki, ambayo yana mtandao mpana wa usimamizi, huku bodi za shule zikiwa na utaratibu wa kufuatilia mwenendo wa kila taasisi. Kwa upande wa shule za Kiislamu, mara nyingi usimamizi wake hutegemea watu binafsi au taasisi zisizo na mfumo madhubuti wa ufuatiliaji wa maendeleo ya shule na walimu.

2. Mchanganyiko wa Mtaala

Shule za Kiislamu zina jukumu la kufundisha masomo ya dini pamoja na masomo ya mtaala wa serikali. Wanafunzi hutumia muda mwingi kwenye masomo ya dini, jambo ambalo linaweza kupunguza muda wao wa kujifunza masomo ya kawaida.

Kwa mfano, shule za Kanisa zinazingatia mfumo wa mtaala wa serikali kwa ukamilifu, huku masomo ya dini yakiwa sehemu ya malezi badala ya kuwa sehemu kubwa ya ratiba ya shule. Kwa upande wa shule za Kiislamu, mgawanyo wa muda kati ya masomo ya dini na masomo ya kawaida unaweza kuathiri maandalizi ya wanafunzi kwa mitihani ya taifa.

3. Ukosefu wa Walimu Bora

Moja ya sababu kubwa zinazochangia ufaulu wa shule za Kanisa ni uwekezaji mkubwa katika walimu wenye sifa na uzoefu. Shule hizi huwalipa walimu vizuri, huwapa mafunzo ya mara kwa mara, na kuhakikisha mazingira mazuri ya kufundisha.

Kwa upande wa shule nyingi za Kiislamu, changamoto ya bajeti inasababisha walimu wengi wasilipwe vizuri au kutokuwa na mafunzo ya mara kwa mara ya kuongeza ufanisi wa ufundishaji. Hii inapelekea shule kukosa walimu wenye weledi wa kutosha kuandaa wanafunzi kwa ushindani wa kitaifa.

4. Miundombinu Duni

Shule za Kanisa zinahakikisha kuwa wanafunzi wanakuwa na mazingira mazuri ya kujifunzia, ikiwa ni pamoja na maabara bora, maktaba za kisasa, na vifaa vya kujifunzia vya kutosha. Kwa upande wa shule nyingi za Kiislamu, ukosefu wa rasilimali hizi ni changamoto kubwa, jambo ambalo linaweza kuathiri viwango vya ufaulu.

5. Motisha kwa Wanafunzi

Katika shule za Kanisa, kuna utamaduni wa kushindanisha wanafunzi na kuwatia motisha kupitia zawadi na mfumo wa kutambua juhudi zao. Wanafunzi wanahamasishwa kushiriki katika mashindano ya kitaaluma na kupewa mwongozo wa karibu na walimu wao.

Kwa upande wa shule za Kiislamu, motisha kama hizi hazionekani kupewa kipaumbele kwa kiwango kikubwa. Hali hii inawafanya wanafunzi wengi wasikazane katika masomo ya kawaida kwa bidii ile ile inayoshuhudiwa katika shule za Kanisa.

NINI KIFANYIKE KUBORESHA UFAULU WA SHULE ZA KIISLAMU?

Ili shule za Kiislamu zifanye vizuri zaidi katika mitihani ya taifa na kushindana na shule za Kanisa, yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi:

1. Kuimarisha Usimamizi
Shule za Kiislamu zinahitaji kuwa na mfumo thabiti wa usimamizi, kwa mfano, kuanzisha bodi za uendeshaji zitakazowajibika kufuatilia maendeleo ya shule na kuhakikisha viwango bora vya elimu vinazingatiwa.

2. Kuboreshwa kwa Mtaala
Badala ya kugawanya muda kati ya masomo ya dini na masomo ya kawaida kwa namna inayoweza kuathiri ufaulu, shule zinapaswa kuhakikisha kuwa ratiba ya masomo inatilia mkazo maandalizi ya mitihani ya taifa huku masomo ya dini yakipangwa kwa namna isiyozuia maendeleo ya kitaaluma ya wanafunzi.

3. Uwekezaji Katika Walimu
Shule za Kiislamu zinapaswa kuweka kipaumbele katika kuajiri na kuwahifadhi walimu wenye sifa bora kwa kuhakikisha wanapewa mishahara mizuri na mafunzo ya mara kwa mara ili kuboresha mbinu zao za ufundishaji.

4. Kuboresha Miundombinu
Kama ambavyo shule za Kanisa zinawekeza katika maabara, maktaba na vifaa vya kujifunzia, shule za Kiislamu zinapaswa kufanya vivyo hivyo ili kuwapa wanafunzi mazingira bora ya kujifunzia.

5. Motisha kwa Wanafunzi
Ni muhimu kwa shule za Kiislamu kuanzisha utaratibu wa kuwatia moyo wanafunzi kupitia tuzo kwa wale wanaofanya vizuri, programu za mashindano ya kitaaluma, na kuweka mifumo ya kuhamasisha bidii darasani.

HITIMISHO

Matokeo ya mwaka 2024 yanaendelea kuonyesha kuwa shule za Kanisa zinafanya vizuri zaidi katika mitihani ya taifa kwa sababu ya mifumo yao imara ya usimamizi, uwekezaji katika walimu, miundombinu bora, na mtazamo wa elimu kama sehemu ya maendeleo ya jamii.

Kwa upande wa shule za Kiislamu, kuna changamoto zinazohitaji kushughulikiwa ili kufanikisha matokeo bora. Ikiwa usimamizi utaimarishwa, walimu bora wataajiriwa, miundombinu itaboreshwa, na wanafunzi watapewa motisha ya kutosha, kuna uwezekano mkubwa wa kuona shule hizi zikifanya vizuri na kushindana kwa karibu na shule zinazoongoza nchini.
Mimi ninesoma shule Moja Mwanza ya kiislan shule zile za kipumbavu sana. Wanabagua wanafunzi kidini, Wana program za kupoteza muda, wanatanguliza malezi zaidi kuliko kufundisha wanafunzi masomo ya shule, wananyanyasa sana. Wanaleta au mazingira ya kutunza ni mabovu sana. Yani utatamani kufa Kule.

Siwezi Shauri mzazi amsomeshe mtoto wake Thaqaafa au Taqwa, shule za kipumbavu sana zile
 
1.Wenzako wanashika gun kutetea mali zao wawe matajiri wewe unawaota magaidi?
Hizo ndio nchi za kiislam sasa
2.D.R.C ina wakatoliki 100M,askari wanaachia bunduki wanakimbia M23 wanajitwalia midogi😃😁😆😉,raia kula Yao ya shida
3.Ikitokea kulinda mali zako ni ugaidi,yes hapo ndio unakuta Arabic countries zote ni rich
4.Hapo ndio unakuta Zanzibar inayoongozola kuferi NECTA Kwa zero nyingi,ina Per capital ya $2500,😃😄😁,mara 2 Ya Tanganyika
Per Capita income doesn't translate to individual
1.Wewe ni mkristo?
2.wewe ni msomi kuliko waislam?
3.Rais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano ni nani?,tunavoongea sasa?
4.Je wewe ndio msomi?,😀😃😁
Ndio maana Karume alikua hajui kusoma na kuandika ila akatia dole gumba hati ya muungano kuamali za Tanganyika ni za wote ila za Zanzibar zisivuke maji,kwa akili ya usomi wenu munaojisifia😃😄😄
Zanzibar ni minority, uchumi wake ni sawa na DSM + Arusha tu! , na bila muungano ingekuwa ni conflict zote zaidi ya DRC (Wapemba vs others), why zanzibaris residing in mainland wana enjoy kuliko wangekuwa Zanzibar?
 
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2024 yanaonesha tena kwamba shule za Kanisa Katoliki zimeendelea kuongoza kwa viwango vya juu vya ufaulu. Kwa mfano, kati ya watahiniwa 19,182 waliotoka kwenye shule za Kanisa, asilimia 97.72 walipata daraja la kwanza hadi la tatu, huku asilimia 0.04 pekee wakipata daraja la sifuri.

Kwa upande mwingine, shule za Kiislamu hazijajitokeza kwa wingi katika nafasi za juu za ufaulu. Hali hii imekuwa ikiendelea kwa miaka mingi, na inazua maswali: Kwa nini shule za Kiislamu hazifanyi vizuri katika mitihani ya taifa? Je, tatizo ni mfumo wa elimu, usimamizi, au kuna mambo mengine yanayochangia hali hii?

TATIZO LIKO WAPI?

Uchambuzi wa hali ya shule za Kiislamu unaonesha changamoto mbalimbali zinazoweza kuwa sababu ya matokeo yasiyoridhisha.

1. Changamoto ya Usimamizi

Shule nyingi za Kiislamu huanzishwa kwa lengo la kutoa elimu ya kidini pamoja na elimu ya kawaida. Hata hivyo, usimamizi wa shule hizi mara nyingi haupo kwenye mfumo thabiti kama ule wa shule za Kanisa, ambazo zinakuwa chini ya taasisi zilizo na uzoefu wa miaka mingi katika uendeshaji wa taasisi za elimu.

Shule nyingi za Kanisa zinamilikiwa na majimbo ya Kanisa Katoliki, ambayo yana mtandao mpana wa usimamizi, huku bodi za shule zikiwa na utaratibu wa kufuatilia mwenendo wa kila taasisi. Kwa upande wa shule za Kiislamu, mara nyingi usimamizi wake hutegemea watu binafsi au taasisi zisizo na mfumo madhubuti wa ufuatiliaji wa maendeleo ya shule na walimu.

2. Mchanganyiko wa Mtaala

Shule za Kiislamu zina jukumu la kufundisha masomo ya dini pamoja na masomo ya mtaala wa serikali. Wanafunzi hutumia muda mwingi kwenye masomo ya dini, jambo ambalo linaweza kupunguza muda wao wa kujifunza masomo ya kawaida.

Kwa mfano, shule za Kanisa zinazingatia mfumo wa mtaala wa serikali kwa ukamilifu, huku masomo ya dini yakiwa sehemu ya malezi badala ya kuwa sehemu kubwa ya ratiba ya shule. Kwa upande wa shule za Kiislamu, mgawanyo wa muda kati ya masomo ya dini na masomo ya kawaida unaweza kuathiri maandalizi ya wanafunzi kwa mitihani ya taifa.

3. Ukosefu wa Walimu Bora

Moja ya sababu kubwa zinazochangia ufaulu wa shule za Kanisa ni uwekezaji mkubwa katika walimu wenye sifa na uzoefu. Shule hizi huwalipa walimu vizuri, huwapa mafunzo ya mara kwa mara, na kuhakikisha mazingira mazuri ya kufundisha.

Kwa upande wa shule nyingi za Kiislamu, changamoto ya bajeti inasababisha walimu wengi wasilipwe vizuri au kutokuwa na mafunzo ya mara kwa mara ya kuongeza ufanisi wa ufundishaji. Hii inapelekea shule kukosa walimu wenye weledi wa kutosha kuandaa wanafunzi kwa ushindani wa kitaifa.

4. Miundombinu Duni

Shule za Kanisa zinahakikisha kuwa wanafunzi wanakuwa na mazingira mazuri ya kujifunzia, ikiwa ni pamoja na maabara bora, maktaba za kisasa, na vifaa vya kujifunzia vya kutosha. Kwa upande wa shule nyingi za Kiislamu, ukosefu wa rasilimali hizi ni changamoto kubwa, jambo ambalo linaweza kuathiri viwango vya ufaulu.

5. Motisha kwa Wanafunzi

Katika shule za Kanisa, kuna utamaduni wa kushindanisha wanafunzi na kuwatia motisha kupitia zawadi na mfumo wa kutambua juhudi zao. Wanafunzi wanahamasishwa kushiriki katika mashindano ya kitaaluma na kupewa mwongozo wa karibu na walimu wao.

Kwa upande wa shule za Kiislamu, motisha kama hizi hazionekani kupewa kipaumbele kwa kiwango kikubwa. Hali hii inawafanya wanafunzi wengi wasikazane katika masomo ya kawaida kwa bidii ile ile inayoshuhudiwa katika shule za Kanisa.

NINI KIFANYIKE KUBORESHA UFAULU WA SHULE ZA KIISLAMU?

Ili shule za Kiislamu zifanye vizuri zaidi katika mitihani ya taifa na kushindana na shule za Kanisa, yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi:

1. Kuimarisha Usimamizi
Shule za Kiislamu zinahitaji kuwa na mfumo thabiti wa usimamizi, kwa mfano, kuanzisha bodi za uendeshaji zitakazowajibika kufuatilia maendeleo ya shule na kuhakikisha viwango bora vya elimu vinazingatiwa.

2. Kuboreshwa kwa Mtaala
Badala ya kugawanya muda kati ya masomo ya dini na masomo ya kawaida kwa namna inayoweza kuathiri ufaulu, shule zinapaswa kuhakikisha kuwa ratiba ya masomo inatilia mkazo maandalizi ya mitihani ya taifa huku masomo ya dini yakipangwa kwa namna isiyozuia maendeleo ya kitaaluma ya wanafunzi.

3. Uwekezaji Katika Walimu
Shule za Kiislamu zinapaswa kuweka kipaumbele katika kuajiri na kuwahifadhi walimu wenye sifa bora kwa kuhakikisha wanapewa mishahara mizuri na mafunzo ya mara kwa mara ili kuboresha mbinu zao za ufundishaji.

4. Kuboresha Miundombinu
Kama ambavyo shule za Kanisa zinawekeza katika maabara, maktaba na vifaa vya kujifunzia, shule za Kiislamu zinapaswa kufanya vivyo hivyo ili kuwapa wanafunzi mazingira bora ya kujifunzia.

5. Motisha kwa Wanafunzi
Ni muhimu kwa shule za Kiislamu kuanzisha utaratibu wa kuwatia moyo wanafunzi kupitia tuzo kwa wale wanaofanya vizuri, programu za mashindano ya kitaaluma, na kuweka mifumo ya kuhamasisha bidii darasani.

HITIMISHO

Matokeo ya mwaka 2024 yanaendelea kuonyesha kuwa shule za Kanisa zinafanya vizuri zaidi katika mitihani ya taifa kwa sababu ya mifumo yao imara ya usimamizi, uwekezaji katika walimu, miundombinu bora, na mtazamo wa elimu kama sehemu ya maendeleo ya jamii.

Kwa upande wa shule za Kiislamu, kuna changamoto zinazohitaji kushughulikiwa ili kufanikisha matokeo bora. Ikiwa usimamizi utaimarishwa, walimu bora wataajiriwa, miundombinu itaboreshwa, na wanafunzi watapewa motisha ya kutosha, kuna uwezekano mkubwa wa kuona shule hizi zikifanya vizuri na kushindana kwa karibu na shule zinazoongoza nchini.
Nitajie Nchi ya kiislam ambayo watu wake wanatumia dini Yao kimaendeleo alafu tuanze kujiuliza hili swali Kwa Nini shule za kiislam zinafeli sana
 
Uc
1.Kua Nyerere aliwaonea huruma wazanzibar?
2.Enh mbona hatuionei huruma Kagera,Geita,Shinyanga ziwe kama Zanzibar?😃😁😃😆
3.Sisi si tuna rohi nzuri?
Uchumi wa Geita, Shinyanga, na Kagera ni zaidi ya Zanzibar (GDP) na Wapemba wako huko wana enjoy kuliko wangekuwa Pemba
 
Tatizo ni Waislam wa Tanzania.... Feza ni ya Waturuki(Waislam) na moja kati ya shule bora kabisa nchini
 
Term petrodollar, Uchumi wote wa mafuta na graph zake katengeneza Ibrahim Ouweiss, ambaye alikua mshauri wa Carter na mwalimu wa Clinton, Proffesor toka Egpty.

Hapo Saudia Wana Chuo cha pili Duniani cha petroli nyuma ya Austin Texas, wameweza kuvumbua mambo mbalimbali ambayo mafuta Yanaweza kufanya to the point sasa hivi Kemikali wanazo zalisha zinaingiza mapato makubwa kushinda mafuta yanayouzwa kwa ajili ya magari na matumizi mengine ya kuungiza,

Kama unafikiri ni rahisi hivyo kusaidia tu kuchimba mafuta uwe Tajiri, Dunia nzima wangefaidika, ila so far ni wao peke yao hapo Gulf wanaoishi hayo maisha.
Uzuri hujabisha nilichoandika.Ni ukweli uli dhahiri pasi na chembe ya shaka bila ya US saudia asingkuwa hapo alipo leo hii kwani kabla ya petrodollar mafuta hawakuwa nayo? akili za kiislam hawakuwa nazo? mbona hawakuwa na maendeleo hayo?
 
Uingereza Kafika Dubai miaka hio hajaanzisha ukoloni Kaomba urafiki, karibia nchi zote Duniani zimetawaliwa na Uingereza why aombe urafiki hapo na kuwasaidia?

Walikua ni wafanyabiashara, watu ambao wanajua Kuzalisha hela, ukimpa 1000 anaizalisha inakuwa 10,000.

Mpaka leo hela za hao waarabu ndio zinawasaidia hao wazungu leo London inaitwa 8th Emirate, funds zao zikikaribia kufirisika anategemea waarabu wa inject hela etc.

So hizo Nchi zimekua Tajiri sababu mbuzi kafia kwa muuza Supu. Leo hii mafuta yakigunduliwa nyumbani kwa Mchaga na nyumbani kwa mzaramo baada ya miaka 50 utajiri utakua tofauti.
 
Kwenye nyuzi kama hizi huwezi kumuona Mohammed Said akija kuchangia. Anapiga kimya kama haoni kitu.
Kwenye nyuzi hizi makobaaz wengi huwa vipofu ghafla maana ukweli unauma, na hata wakijibu huwa pumba nyingi sana maana huwa hawataki kukiri ukweli huwa wanazunguuka. Muanzilishi wa dini hajui kusoma wala kuandika halafu utegemee taasisi za dini ya muanzilishi zifanye vizuri thubutuu mlinganyo unakataa.
 
Back
Top Bottom