Ngoja kwanza tufundishane elimu ya "Hedhi salama" Mkuu hauoni dada zetu wanavyoteseka na maumivu ya tumbo?
Masomo yapo ila kama ulikimbilia HGL utaishia kulaumu. Extraction of metals. Ukija level ya degree kuna mining engineering na nyingine nyingiHabari wandugu,
Wenzetu wazungu wanujuzi sana wa madini, wanafundishwa shuleni. Mzungu nu rahisi kutambua Ruby, dhahabu au almasi akiiona.
Lakini mbongo hata anafika form six hawezi tambua madini aina yoyote. Kama elimu inamuwezesha mtu kupambana na mazingira yake, na mazingira yetu yamejaa madini, kwa nini hatufundishi somo la madini, upatikanaji na uchimbaji wake shuleni?
Elimu ambayo itamuwezesha mhitimu kujijiri kwenye uchimbaji akimaliza.
Hata form two angetulia angejua methods of extracting minerals, angejua metallic minerals na non metallic minerals n.kMasomo yapo ila kama ulikimbilia HGL utaishia kulaumu. Extraction of metals. Ukija level ya degree kuna mining engineering na nyingine nyingi
Mipango yeti mibovu,lawama kwa wazunguHao weupe, wanapambana juu chini, ili sisi tusijue vitu vya muhimu na vyenye maana. Wanahakikisha tunapata historia ya sayansi na sio sayansi halisia.
Somo hilo linafundishwa chuoni, kuanzia certificate hadi degreeHabari wandugu,
Wenzetu wazungu wanujuzi sana wa madini, wanafundishwa shuleni. Mzungu nu rahisi kutambua Ruby, dhahabu au almasi akiiona.
Lakini mbongo hata anafika form six hawezi tambua madini aina yoyote. Kama elimu inamuwezesha mtu kupambana na mazingira yake, na mazingira yetu yamejaa madini, kwa nini hatufundishi somo la madini, upatikanaji na uchimbaji wake shuleni?
Elimu ambayo itamuwezesha mhitimu kujijiri kwenye uchimbaji akimaliza.
Nu kweli, ila kwa wenzetu mtu akimaliza sekondari anakuwa anaweza kutambua aina za madini na mbinu za uchimbaji. Unaweza mchukua ukampeleka field na akaonyesha tofauti na asiyeenda shule.Somo hilo linafundishwa chuoni, kuanzia certificate hadi degree
Hakuna kitu kama hichoNu kweli, ila kwa wenzetu mtu akimaliza sekondari anakuwa anaweza kutambua aina za madini na mbinu za uchimbaji. Unaweza mchukua ukampeleka field na akaonyesha tofauti na asiyeenda shule.