Kifupi Ni kwamba si kwamba Hamna masomo hayo, laa hashaa!
Kama ulikuwa msomaji mzuri wa masomo ya sayansi, utakuja kugundua kwamba madini tumeyasoma vzr TU mpaka uchimbwaji wake!
O'level, Chemistry form3 Kuna topic inaitwa extraction of Metals (Sijui kwa Sasa)
Tulijifunza aina nyng za metals na uchimbwaji wake, mfano Iron, copper nk
Vilevile kulikua na mafundisho ya carbon (upande wa non-metal) na aina zake! Haya yote Ni sehemu ya madini!
A'level chemistry ndyo usiseme kabisaaah!
Sema hawajayachulia seriously, ila yapo vzr tu, ni ufuatiliaji wako TU!