Sekondari Kuna mining kwenye geography! Advance pia wanaosoma geography ipo.Nu kweli, ila kwa wenzetu mtu akimaliza sekondari anakuwa anaweza kutambua aina za madini na mbinu za uchimbaji. Unaweza mchukua ukampeleka field na akaonyesha tofauti na asiyeenda shule.
Utakuwa ulikuwa mtoro mzuri sana kuanzia primary Hadi sekondariHabari wandugu,
Wenzetu wazungu wanujuzi sana wa madini, wanafundishwa shuleni. Mzungu nu rahisi kutambua Ruby, dhahabu au almasi akiiona.
Lakini mbongo hata anafika form six hawezi tambua madini aina yoyote. Kama elimu inamuwezesha mtu kupambana na mazingira yake, na mazingira yetu yamejaa madini, kwa nini hatufundishi somo la madini, upatikanaji na uchimbaji wake shuleni?
Elimu ambayo itamuwezesha mhitimu kujijiri kwenye uchimbaji akimaliza.
Unataka kuniambia mtu wa form six anaweza kutambua kuwa hii ni almasi, hii ni dhahabu, hii ni ruby nk. Ukimpeleka machimboni, anaweza kuwa na maarifa yoyote kumzidi darasa la saba anayechimba?Masomo yapo ila kama ulikimbilia HGL utaishia kulaumu. Extraction of metals. Ukija level ya degree kuna mining engineering na nyingine nyingi
Siyo madini tu 'wenzetu' mtu akimaliza sekondari anakuwa na ujuzi wa mambo mengi, anajua basic za afya, madini, hayo magari na mambo kibao. Siyo sababu ya interest tu, wanafundishwa shuleni. Huku mtu anatoka amesoma biology hadi form six lakini hajui chochote kuhusu afya, yupo kama la saba tu.Red Giant
Kwanza kwanini wabongo mnapoongelea mizungu lazima muanze na 'wenzetu'? Mizungu haiwezi kusema hivi hata kwa bahati mbaya ila watanganyika kila siku lazima mjinasibishe nao si viongozi au watu mitaani utasikia 'wenzetu'. So annoying.
Pili, sio kweli kwamba mizungu inajua madini kwa kuona tu, tunaishi nao tunawajua vizuri wengi hawajui hata nchi zinazozizunguka nchi zao let alone mabara au madini.
Wanaojua mambo ya madini ni ambao wamejiongeza wenyewe tokana na interests zao kitu ambacho mwanafunzi yeyote yule anaweza kukifanya TZ kama that interests them hasa ukizingatia tayari wamepewa basics kwenye masomo kama Geography na Chem.
Kazi ya shule ni kukupa basics sio kukutafunia kila kitu, wakati madini interests you mwingine interest yake ni magari nae atauliza kwanini shuleni hatufundishwi ufundi? So long as wote mna basics za kuanzia mengine jiongezeni wenyewe tuache kulaumu serikali kwa kila kitu.
Kutambua almasi na dhahabu ni uzoefu wa field tu ndio maana std 7 akina msukuma wana migodi na wanajua madini wanayoyachimba.Red Giant
Kwanza kwanini wabongo mnapoongelea mizungu lazima muanze na 'wenzetu'? Mizungu haiwezi kusema hivi hata kwa bahati mbaya ila watanganyika kila siku lazima mjinasibishe nao si viongozi au watu mitaani utasikia 'wenzetu'. So annoying.
Pili, sio kweli kwamba mizungu inajua madini kwa kuona tu, tunaishi nao tunawajua vizuri wengi hawajui hata nchi zinazozizunguka nchi zao let alone mabara au madini.
Wanaojua mambo ya madini ni ambao wamejiongeza wenyewe tokana na interests zao kitu ambacho mwanafunzi yeyote yule anaweza kukifanya TZ kama that interests them hasa ukizingatia tayari wamepewa basics kwenye masomo kama Geography na Chem.
Kazi ya shule ni kukupa basics sio kukutafunia kila kitu, wakati madini interests you mwingine interest yake ni magari nae atauliza kwanini shuleni hatufundishwi ufundi? So long as wote mna basics za kuanzia mengine jiongezeni wenyewe tuache kulaumu serikali kwa kila kitu.
Siyo madini tu 'wenzetu' mtu akimaliza sekondari anakuwa na ujuzi wa mambo mengi, anajua basic za afya, madini, hayo magari na mambo kibao. Siyo sababu ya interest tu, wanafundishwa shuleni. Huku mtu anatoka amesoma biology hadi form six lakini hajui chochote kuhusu afya, yupo kama la saba tu.
Mtu kasoma hadi form six biology na geography, lakini hajui chochote kuhusu kuhusu madini na uchimbaji, anazidiwa na la saba anayechimba.
Hizo video zinapotosha sana sababu zinachagua waliojibu hovyo kwa nia ya kuprove ishu yao. Ukiwauliza maswali kama hayo watanzania utashangaa ujinga uliokithiri, kuna mmoja aliniambia Ulaya ni nchi!!With all due respect Madai yako yanakuvua nguo mwenyewe na wala sio hao form six.
Unashangaa la saba mchimbaji kujua madini kuliko muhitimu? Hujui experience is the best teacher wanasema hao hao 'wenzako' mizungu. Inawezekana unashangaa kwanini mtoto wa mvuvi aliyeanza kuvua akiwa na miaka 5 ni bora kuliko form 6 leaver. This is how absurd your argument sounds like.
Unadhani kwanini sehemu nyingi wanauliza experience yako kwanza kabla ya vyeti?
Naona umeamua kuwatetea mizungu wenzako kwa kila namna ila inaonekana huwajui, sisi tunaishi nao na tumesoma nao tunawajua fika.
Unawateteaje wenzako wanaoshindwa kujibu maswali mepesi kama haya? Hawajafundishwa shuleni? Nilidhani umesema wao wakimaliza wanajua kila kitu.
Ishu ni kwamba masomo yapo au hayapo?Unataka kuniambia mtu wa form six anaweza kutambua kuwa hii ni almasi, hii ni dhahabu, hii ni ruby nk. Ukimpeleka machimboni, anaweza kuwa na maarifa yoyote kumzidi darasa la saba anayechimba?
Hizo video zinapotosha sana sababu zinachagua waliojibu hovyo kwa nia ya kuprove ishu yao. Ukiwauliza maswali kama hayo watanzania utashangaa ujinga uliokithiri, kuna mmoja aliniambia Ulaya ni nchi!!
Pili ni kuwa, nafahamu umuhimu wa experience, na pia nafahamu mtu anayefanya jambo kwa experience na aliepita shule akajua abc wanakuwa tofauti sana.
Mfano, watu wanachenjua dhahabu kimazoea, lakini uchanjuaji mzima ni inorganic chemistry na mambo ya complex compounds formation. Sasa aliyesoma inorganic anaweza kuwa tofauti na asiyeenda shule, hata kama huyu anaexperience? Je shule imemuweka hatua yoyote mbele katika kupambana na mazingira yake?
Zamani kulikuwa na somo la kilimo shule ya msingi, watu walijifunza mambo ya mboji, crop rotation, mimea ya mikunde nk, hili liliwaweka waliosoma hatua mbele kuliko wale wanaofanya kilimo kwa mazoea(experience). Ndicho ninachosema, basic education inatakiwa kumuweka aliyeipata hatua fulani mbele katika kupambana na mazingira yake yule aliyeisoma, isiwe tu 1+2=3. Ifundihae pia basics za mining, kama kutambua madini. Basics za afya nk.
Mnamshambulia mtoa uzi utadhani mliosoma hayo madini mkipewa mtayajua ni kweli hakuna somo la kutosha kuanzia level za chini kuhusu madini hiyo dhahabu tu watu wengi hawaijui achilia mbali hayo madini mengine na wengine hawajawahi kuiona kabisaa ingawaje Tanzania imezagaa wenzetu kama hayo madini ndio rasilimali zao hata wakina Ras Simba wao wangeanzisha vituo vya kufundisha aina mbali mbali za madini...
Kabisa, mtu akitoka awe na ABC za madini na uchimbaji. Mazingira yetu yana madini mengi sana, elimu inatakiwa kutusaidia kuyatawala.Naona wachangiaji mnamshambulia muanzisha uzi bila kuelewa alichokikusudia. Mnasema ni topic ya form two sijui habari ya Metal na Non Metal vitu gani, like seriously!? Halafu ndio nyie nyie mlioshika vitengo mnatuhudumia.
Nilichomuelewa huyu bwana ni kuwa, Kwa nini kusiwe na Somo lenye Topics zake mwanzo hadi mwisho(kuanzia majina, upatikanaji wake, kuyachimba, kuyasafisha, kuyachonga nk) nasio hizo kukaririshwa mambo za Mining za form two.
Liwe ni Somo lililokamilika kama Hisabati kuanzia Shule ya Msingi, ukifika chuo sasa unaamua kuspecialise utakakotaka.
Kuna shule ya Meta Mbeya, mtu alikuwa anachukua umeme hadi form 4 kama somo la ziada. Akitoka hapo ni fundi umeme kabisa. Mwingine atachagua kile na mwingine kile.Kwahiyo nje mtu aliyemaliza high school anajua madini kwa kuyaangali tu? Sijui nchi gani hizo unaongelea.
Na kwanini mkazo uwekwe kwenye madini tu kwanini wasifundishe uvuvi, kilimo, ufugaji, ufundi, uashi, ushonaji nk ili mtu akimaliza form 6 awe anajua kila kitu.
Acha ujuha, mining inafundishwa shuleni kwenye geography na minerals kuanzia primary mpaka chuo kikuu kwa wanaoopt geography...kutokujua kwako unataka kufanya mjumuisho usio sahihi.Hizo video zinapotosha sana sababu zinachagua waliojibu hovyo kwa nia ya kuprove ishu yao. Ukiwauliza maswali kama hayo watanzania utashangaa ujinga uliokithiri, kuna mmoja aliniambia Ulaya ni nchi!!
Pili ni kuwa, nafahamu umuhimu wa experience, na pia nafahamu mtu anayefanya jambo kwa experience na aliepita shule akajua abc wanakuwa tofauti sana.
Mfano, watu wanachenjua dhahabu kimazoea, lakini uchanjuaji mzima ni inorganic chemistry na mambo ya complex compounds formation. Sasa aliyesoma inorganic anaweza kuwa tofauti na asiyeenda shule, hata kama huyu anaexperience? Je shule imemuweka hatua yoyote mbele katika kupambana na mazingira yake?
Zamani kulikuwa na somo la kilimo shule ya msingi, watu walijifunza mambo ya mboji, crop rotation, mimea ya mikunde nk, hili liliwaweka waliosoma hatua mbele kuliko wale wanaofanya kilimo kwa mazoea(experience). Ndicho ninachosema, basic education inatakiwa kumuweka aliyeipata hatua fulani mbele katika kupambana na mazingira yake yule aliyeisoma, isiwe tu 1+2=3. Ifundihae pia basics za mining, kama kutambua madini. Basics za afya nk.
Naona wachangiaji mnamshambulia muanzisha uzi bila kuelewa alichokikusudia. Mnasema ni topic ya form two sijui habari ya Metal na Non Metal vitu gani, like seriously!? Halafu ndio nyie nyie mlioshika vitengo mnatuhudumia.