Kwanini shuleni hakuna somo la madini na uchimbaji wake?

🤝👊👏👏👏!
 
Huyu ni ngumbaru, JF Ina wajinga wengi tu sema ndio ukikaa ubishane nae atajifanya ana PhD ya Australia au Glasgow.
 
Extraction ni uchenjuaji na sio uchimbaji
 
Umesomea shule za Tanzania hii hii?
Nieamini nchi Ina vilaza wanaograduate.

Hayo makitu unayataja yote yapo kwenye mtaala na hujawahi yasoma dah!
 
Mfumo wa elimu wa Tanzania upo kwa ajili ya kumfanya mwanafunzi awe fukara, ndio maana watoto wao wanasomeshwa nje ya nchi
 
Hata form two angetulia angejua methods of extracting minerals, angejua metallic minerals na non metallic minerals n.k
Hata form two angetulia angejua methods of extracting minerals, angejua metallic minerals na non metallic minerals n.k
Nionesheni mtu mmoja aliesoma vizuri kemia ya sekondari akaielewa na sasa ana extract chuma, dhahabu nk.
Ingekua hivyo elemu ya TZ isingelalamikiwa.
Extraction of metal zinafanyika hovyo hovyo bila elimu husika kwenye migodi ya wabongo tena wamerithi elimu mtaa kutoka migodi ya wazungu.
Tunatetea ujinga, JPM alihoji sana usafirishaji wa mchanga kwenda ulaya. sababu ni kwamba wabongo hawana ujuzi wa kutosha wa kutoa mabaki ya madini yaliyomo.
Hakuna shule yenye BLAST FINANCE TZ !
Watu wanajibu pumba tu hapa.
 
Sasa wewe umesoma heading ya swali au unaenda nje ya mada, ameuliza kuwa "kuna topic inayofundisha madini na uchimbaji? "
Jibu ni kuwa ipo inafundishwa na kinachokosekana ni practical kwa watoto katika ngazi ya Sekondari.
 
Utachimba madini bila kufanya extraction(kutenganisha pumba na mchele) ?
Mtoa mada amesema shuleni, nami nijuavyo hakuna shule inayofundisha kuchimba madini bali mining industry/activities, types of mineral, rocks.
Kwenye jografia msingi na sekondari madini hufundishwa kama economic activity sio jinsi ya kuyachimba labda vyuoni hufundisha.
Nilisoma 15 years ago nami ni mmoja wa wajuzi wa kufundisha jiografia(gm) sijawahi soma mining processing haikuwepo hio mada sijui siku hizi maana sijaona mtaala wa sasa.
 
Sasa wewe umesoma heading ya swali au unaenda nje ya mada, ameuliza kuwa "kuna topic inayofundisha madini na uchimbaji? "
Jibu ni kuwa ipo inafundishwa na kinachokosekana ni practical kwa watoto katika ngazi ya Sekondari.
Naomba unitajie walau subtopic au content ya uchimbaji madini nimefanya kazi ya kufundisha jiografia for some years mpaka 2016. Yani uchimbaji madini kama unaofanyika kakola unafundishwa shule za msingi na sekondari ? Naomba unipe huo ushahidi. Nina kitabu kipya cha MJ itabidi nipitie mada zake nione ila sitaki kuamini inawezekana wewe umesomea Kenya sio TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…