Kwanini si Dkt. Ali Hassan Mwinyi?

Wengine hawapendi kuitwa Dr. Nyerere alipenda kuitwa mwalimu.
 
Watu wenye akili huwa hawahitaji utambulisho wa kuwafanya waonekane wana akili. Ila sisi ambao tia maji tia maji tunaamini hiyo ndo inatufanya tuonekane tuna kitu kichwani.
 
Kwa kawaida title ya Dr. Ni kwa wale tuu waliopata Ph.D kwa kukaa darasani. Ndio maana wengine hawakuona sababu ya kujiita Dr. Ni siku hizi tu ndio watu wameanza kuwa address watu wenye udaktari wa heshima kama ma Dr. Labda kwa Tanzania hiyo inakubalika kitaratibu. Hata Mandela naTutu wote hawakujiita Dr.

Amandla...
 
Kwa mujibu wa taratibu huwezi kujiita Dkt kwa udaktari wa Heshima ni kosa.
 
Lucas mwashambwa
Mtukufu Mama Muheshimiwa sana Daktari msomi kabisa samia Suruhu Hasani kamanda wa majeshi na Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Unanikumbusha Idd Amin wa Uganda naye aliyapenda sana haya Ma-had hi ya kujipachika. Kawaida waafrika wanapenda sana haya masifa. Na wanaomzunguka Kiongozi wa Kiafrika wakiona mkubwa anapenda sifa wanasifia mpaka wanapitiliza wanamuita "Mh Mungu"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…