Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ni medical doctor huyoSasa huyu mwanae mbona anapendaaa tumuite Dr.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni medical doctor huyoSasa huyu mwanae mbona anapendaaa tumuite Dr.
Na walikuwa wasomi wa kweli kwani hata hotuba na uongeaji wao ulikuwa wa kisomi. Hawa wengine ni bure kabisa, hotuba zimejaa mipasho.Nyerere PhD 21, Mkapaa anazo kibao na Mwinyi anazo nne kama sio 5..
Ila sijawahi kuwasikia wakijiita MaDR
Wengine hawapendi kuitwa Dr. Nyerere alipenda kuitwa mwalimu.Nafuatilia msiba wa Rais Ali Hassan Mwinyi.
Watu wengi wamemzungumzia. Mengi yamesemwa juu yake.
Lakini moja ambalo nimeliona limekosekana ni ule utambulisho wa Dkt.!
Katika maisha yake yote ya uongozi, Rais Mwinyi hakuwahi kupewa shahada ya udaktari wa heshima kama ilivyokuwa kwa aliyemtangulia na waliokuja nyuma yake?
Sijawahi kuona wala kusikia popote pale Rais Mwinyi akitambulishwa kama Dkt. Ali Hassan Mwinyi.
Hiyo ni kwa nini? Hakupewa hiyo shahada ya heshima? Alipewa hiyo shahada ya heshima lakini kwa vile hakuwa mpenda makuu, hakuona umuhimu wa kuutanguliza huo utambulisho na hivyo kuwafanya watu wengine nao kutokumtambulisha kwa huo utambulisho?
Au hatambulishwi hivyo kwa sababu watu walio wengi hawajui kama alipewa hiyo shahada ya heshima?
Najua marais Nyerere na Mkapa walikuwa na hizo shahada za heshima lakini ilikuwa ni nadra sana kusikia au kuona Dkt. Julius Nyerere au Dkt. Benjamin Mkapa.
Ila kuanzia Kikwete kuja mpaka hivi sasa, kila mtu ni Dkt. so and so……
Ila nilikuwa Nazipenda sana Zipe Hotuba za MKAPA za kila mwisho wa Mwezi..Na walikuwa wasomi wa kweli kwani hata hotuba na uongeaji wao ulikuwa wa kisomi. Hawa wengine ni bure kabisa, hotuba zimejaa mipasho.
Kikwete hotuba zake zilikuwa zinaboa. Sikuwa nazisikiliza kabisa.Ila nilikuwa Nazipenda sana Zipe Hotuba za MKAPA za kila mwisho wa Mwezi..
Zilikuwa Hotuba nzuri sana..
Kikwete naye aliziiga ila hakumaliza kuzifikia
Kikwete alikuwa anasuta sana watu kwenye hotuba zake..Kikwete hotuba zake zilikuwa zinaboa. Sikuwa nazisikiliza kabisa.
Kitaru ndiyo nini na wewe Mkuu?Kitaru cha Loliondo aliuza kwa Waarabu Siku ya Wajinga Duniani 1st April fool
Watu wenye akili huwa hawahitaji utambulisho wa kuwafanya waonekane wana akili. Ila sisi ambao tia maji tia maji tunaamini hiyo ndo inatufanya tuonekane tuna kitu kichwani.Nafuatilia msiba wa Rais Ali Hassan Mwinyi.
Watu wengi wamemzungumzia. Mengi yamesemwa juu yake.
Lakini moja ambalo nimeliona limekosekana ni ule utambulisho wa Dkt.!
Katika maisha yake yote ya uongozi, Rais Mwinyi hakuwahi kupewa shahada ya udaktari wa heshima kama ilivyokuwa kwa aliyemtangulia na waliokuja nyuma yake?
Sijawahi kuona wala kusikia popote pale Rais Mwinyi akitambulishwa kama Dkt. Ali Hassan Mwinyi.
Hiyo ni kwa nini? Hakupewa hiyo shahada ya heshima? Alipewa hiyo shahada ya heshima lakini kwa vile hakuwa mpenda makuu, hakuona umuhimu wa kuutanguliza huo utambulisho na hivyo kuwafanya watu wengine nao kutokumtambulisha kwa huo utambulisho?
Au hatambulishwi hivyo kwa sababu watu walio wengi hawajui kama alipewa hiyo shahada ya heshima?
Najua marais Nyerere na Mkapa walikuwa na hizo shahada za heshima lakini ilikuwa ni nadra sana kusikia au kuona Dkt. Julius Nyerere au Dkt. Benjamin Mkapa.
Ila kuanzia Kikwete kuja mpaka hivi sasa, kila mtu ni Dkt. so and so……
Huwezi ukawa smart ukasikiliza hotuba ya Kikwete.Kikwete hotuba zake zilikuwa zinaboa. Sikuwa nazisikiliza kabisa.
Ni Dili na Ushamba au Ujuha ndani yakeUdokta zama hizi ni dili sana!
Huyu wa bara sio medical doctor.Ni medical doctor huyo
Kwa kawaida title ya Dr. Ni kwa wale tuu waliopata Ph.D kwa kukaa darasani. Ndio maana wengine hawakuona sababu ya kujiita Dr. Ni siku hizi tu ndio watu wameanza kuwa address watu wenye udaktari wa heshima kama ma Dr. Labda kwa Tanzania hiyo inakubalika kitaratibu. Hata Mandela naTutu wote hawakujiita Dr.Nafuatilia msiba wa Rais Ali Hassan Mwinyi.
Watu wengi wamemzungumzia. Mengi yamesemwa juu yake.
Lakini moja ambalo nimeliona limekosekana ni ule utambulisho wa Dkt.!
Katika maisha yake yote ya uongozi, Rais Mwinyi hakuwahi kupewa shahada ya udaktari wa heshima kama ilivyokuwa kwa aliyemtangulia na waliokuja nyuma yake?
Sijawahi kuona wala kusikia popote pale Rais Mwinyi akitambulishwa kama Dkt. Ali Hassan Mwinyi.
Hiyo ni kwa nini? Hakupewa hiyo shahada ya heshima? Alipewa hiyo shahada ya heshima lakini kwa vile hakuwa mpenda makuu, hakuona umuhimu wa kuutanguliza huo utambulisho na hivyo kuwafanya watu wengine nao kutokumtambulisha kwa huo utambulisho?
Au hatambulishwi hivyo kwa sababu watu walio wengi hawajui kama alipewa hiyo shahada ya heshima?
Najua marais Nyerere na Mkapa walikuwa na hizo shahada za heshima lakini ilikuwa ni nadra sana kusikia au kuona Dkt. Julius Nyerere au Dkt. Benjamin Mkapa.
Ila kuanzia Kikwete kuja mpaka hivi sasa, kila mtu ni Dkt. so and so……
Kwa mujibu wa taratibu huwezi kujiita Dkt kwa udaktari wa Heshima ni kosa.Kwa kawaida title ya Dr. Ni kwa wale tuu waliopata Ph.D kwa kukaa darasani. Ndio maana wengine hawakuona sababu ya kujiita Dr. Ni siku hizi tu ndio watu wameanza kuwa address watu wenye udaktari wa heshima kama ma Dr. Labda kwa Tanzania hiyo inakubalika kitaratibu. Hata Mandela naTutu wote hawakujiita Dr.
Amandla...
Unanikumbusha Idd Amin wa Uganda naye aliyapenda sana haya Ma-had hi ya kujipachika. Kawaida waafrika wanapenda sana haya masifa. Na wanaomzunguka Kiongozi wa Kiafrika wakiona mkubwa anapenda sifa wanasifia mpaka wanapitiliza wanamuita "Mh Mungu"!Lucas mwashambwa
Mtukufu Mama Muheshimiwa sana Daktari msomi kabisa samia Suruhu Hasani kamanda wa majeshi na Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania