Kwanini siku(days) zilipewa majina ya kiislamu..?



Kwa nini umeandika ,,siku (days)" Kwa nini haujaandika ,,siku" tu bila days?
 
Shule zinafunguliwa lini huyu akawaulize walimu wake wa historia,lugha na dini?
 
Wanaisimu hawakubali kuwa Kiswahili ni Kiarabu. Wanasema ni kibantu. Lakini ukweli Kiswahili (sahel) in Kiarabu kwa 90%.
Tukubali tu kibantu ni 5% na 5% iliyobaki ni matoholewa kutoka lugha zingine.
Hii mpya kama kiswahili ni kiarabu! !! Yaani nikiingia uarabuni napiga kiswahili nao wanapiga kiarabu tunaelewana! !!!! Sidhani hata kama kuna maneno lukuki ya kiarabu.
 


Nilifikiri kuna tofauti kati ya kiarabu lugha na uislamu dini. Pili hata mimi nisiejua kiarabu najua juma ni kitambulisho cha mwanzo cha siku fulani ndani ya wiki. Mosi, pili, tatu, nne na tano ni namba. Labda alhamisi na Ijumaa ndio tofauti. Ni vizuri tujue kama haya yana maana gani au imekuwaje yasiitwe jumasita na jumasaba? Nawasilisha.
 
Kiswahili asili yake ni kiarabu. Hili halina utata hata kidogo
 
Wanaisimu hawakubali kuwa Kiswahili ni Kiarabu. Wanasema ni kibantu. Lakini ukweli Kiswahili (sahel) in Kiarabu kwa 90%.
Tukubali tu kibantu ni 5% na 5% iliyobaki ni matoholewa kutoka lugha zingine.

Souahil or Sahel means coast in arabic, maneno ya lugha hii yanayotumika katika tafsida ya dini ya kiisalam 90% ni ya kiarabu ila kwa ujumla wa lugha yenyewe asilimia kubwa ni kibantu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…