Kwanini siku(days) zilipewa majina ya kiislamu..?

Kwanini siku(days) zilipewa majina ya kiislamu..?

Habari zenu wanajf ,kama kichwa cha habari kinavyosema ni hivi..

Jumatatu
apo kuna majina mawili juma na tatu,juma linafaamika sana na tatu linafaamika pia nilakike katika zunguka yangu nilkutana na tatu kama wanne wote waisilamu.

Jumanne
ili linafaamika ingawa pia kunawakristu hulitumia lakini wengi wao waisilamu.

Jumatano
Apa juma kamakawaida lakini tano sijawai liskia popote.

Alhamisi
Apa kunamajina mawili kuna Ali na Hamisi.

Ijumaa
Apa nilshakutana na watu wanaitwa "jumaa"kama wa tatu ivi ni waisilamu.

Jumamosi
Apa lipo jina la "juma" ila "mosi"sijawai kuliskia

Jumapili
Apa yapo majina mawili tena kuna "juma" na "Pili"nilishakutana na jina la Pili mala tatu wote waislamu.

Kwa ayo majina hakuna tatzo lolote ila tu kwanini yatoke upande mmoja

Karibuni ndugu mnipe majibu.....
Sema kiarabu siyo kiislam
 
Aliegundu kalenda ni mmisri na wote kule ni waarabu ndio maana ilipewa majina ya kiislam
 
Kinsingi waislam wanatoa majina siku ambayo amazaliwa mtoto na pia kumbuka hiyo ni kwa lugha ama tafsir ya kiswahil ukija kifaransa hakuna upupu huo
 
Back
Top Bottom