BEDUI Jr
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 2,041
- 2,846
Siku ya kwanza ni JumamosiInamaana in Arabic Sunday ni siku ya kwanza....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ya kwanza ni JumamosiInamaana in Arabic Sunday ni siku ya kwanza....
Qur an sio kiarabu unaweza kujua kiarabu kakini usijue Qur aniAsilimia 90 ya watanganyika tungeweza kusoma kuruani.
Sema kiarabu siyo kiislamHabari zenu wanajf ,kama kichwa cha habari kinavyosema ni hivi..
Jumatatu
apo kuna majina mawili juma na tatu,juma linafaamika sana na tatu linafaamika pia nilakike katika zunguka yangu nilkutana na tatu kama wanne wote waisilamu.
Jumanne
ili linafaamika ingawa pia kunawakristu hulitumia lakini wengi wao waisilamu.
Jumatano
Apa juma kamakawaida lakini tano sijawai liskia popote.
Alhamisi
Apa kunamajina mawili kuna Ali na Hamisi.
Ijumaa
Apa nilshakutana na watu wanaitwa "jumaa"kama wa tatu ivi ni waisilamu.
Jumamosi
Apa lipo jina la "juma" ila "mosi"sijawai kuliskia
Jumapili
Apa yapo majina mawili tena kuna "juma" na "Pili"nilishakutana na jina la Pili mala tatu wote waislamu.
Kwa ayo majina hakuna tatzo lolote ila tu kwanini yatoke upande mmoja
Karibuni ndugu mnipe majibu.....