Kwanini siku hizi vyuoni wanawake mnatega mimba?

Nilikua nikivaa kondom anakataa anasema eti zinamuumiza, basi kwa vile nilimpenda nikaamua kua namla bila gwanda.
Aisee mimi mpango wangu kabla mwaka huu haujaisha nataka nipate watoto 7, sasa nashangaa kamoja tu mkuu unalia lia!

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
 
msomi gani wew unayesema makalenda Yao??? mapenzi mfanye wote alafu kalenda iwe yake tofauti yako na asiyeenda shule ni nini sasa
 
sasa wewe nawe kwanini unasoma na kucomment kwenye pumba? basi na ww ni pumba tu
Nilifungua uzi wa jamii forum nikakutana na pumba zako

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Aisee mimi mpango wangu kabla mwaka huu haujaisha nataka nipate watoto 7, sasa nashangaa kamoja tu mkuu unalia lia!

Sent from my Nokia-toch using JamiiForums mobile app
mkuu sijajipanga bado sijui nikimaliza chuo hapa itakuaje maana natoka familia duni kabisa, chuo nimesoma kwa mkopo, ajira sijui kama nitapata au la!
 
Daaah ! Broo mm nilitegeshewa Na Demu wangu saiv nalea Mtoto cha ajabu alijifungua kwa operation .... Kingine sikujuaga kama hana wazazi huyu Demu .... Kaniumizaga mpaka nashindwa kuelewa ilikuwaje aisee...... Ila nimejitahidi kumhudumia kadri ninavyo jaaliwa .... Jumapili anaenda Church kumbatiza Mtoto wangu .... Baba D .... Kanileteaga jembe kanitoaga copy right yaani siwezi hata kumkataa Mtoto [emoji40][emoji33][emoji33][emoji33][emoji135][emoji135][emoji135]

Fursa2017
 
Tatizo siyo kufaidi nyapu, mimi nacholalamika ni kwann ategeshe kwa makusudi kabsa?
Dogo lea tu hyo mimba na mtto. Usikute huyo ndo mwanao wa pekee. Usiogope maisha mtaani. Milango ya baraka itafunguka tuu. Piga moyo konde. Pia mfariji muda wote huyo mzazi mwenzako.

Sent from my D6708 using JamiiForums mobile app
 
Ulivyokuwa unamkojea ndude zako huku umeregeza macho ulikuwa unaona raha kweli, vuna ulichopanda ndugu.
 
hongera sana ndugu
 
sasa ntamlea vipi hapa nilishasaini boom la mwisho na huko kitaa nasikia ajira hazipo kabisa yani nmedata
Sasa akili ndo itafunguka utajishugulisha na maisha yataenda bila shaka...na utashangaa wewe ndo unapata kazi kabla ya wote...nina experience hyo..nilipita humohumo..ukitaji info zaidi njoo PM
 
Dogo lea tu hyo mimba na mtto. Usikute huyo ndo mwanao wa pekee. Usiogope maisha mtaani. Milango ya baraka itafunguka tuu. Piga moyo konde. Pia mfariji muda wote huyo mzazi mwenzako.

Sent from my D6708 using JamiiForums mobile app
Duuuuuh! maneno yako yameniingia mkuu sawa sasa ila sijui naanzia wap ila itajulikana mbele ya safari
 
Kaka tuliza moyo na akili usipanic .wala usiwaze sana haya ni mambo ya kawaida tuu.pia nakushauri usimwambie atoe maana watu wanapoteza maisha kwaajili ya kutoa mimba au kutolewa vizazi maana vizazi vinaoza mkuu wangu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kwani mkuu huyo manzi alikubaka au mlikuwa mna kwichi kwichi ukiwa umelewa?? Na kwanini huyo manzi aitoe hiyo mimba wakati kijusi hakina hatia??

Task Force12
 
sawa mkuu nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…